Mwamposa atua Arusha kwenye mashindano ya Samia Motocross Championship

Mwamposa atua Arusha kwenye mashindano ya Samia Motocross Championship

Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024 katika Viwanja vya Lakilaki - Kisongo jijini Arusha.

Mhe. Makonda na mgeni wake Mtume Mwamposa wamekagua viwanja hivyo vya mashindano kwa kutumia pikipiki za miguu minne.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo anatukumbusha kuwatambua manabii na mitume wa uongo. Na kwamba nyakati ndio hizi,hivyo tuwe makini Maana bado kitambo kidogo tu Dunia yote itashuhudia Yesu akirudi kulinyakua kanisa lake.
 
NATAKA NIMSIFU BWA MDOGO MAKONDA, ANAPIGANA KWELI KWELI, HATAKI KUONA ARUSHA INALALA, ARUSHA NDIYO KITOVU CHA UTALII TANZANIA, HONGERA BWA MDOGO, BIG UP SANA SANA.
TUNAITA #OVER ACHIEVEMENT!
 
Makonda angemwambia Mwamposa apige ibada moja hapo Sheikh Amri Abeid, watu wakanyagane kwenye mafuta ya upako wao wadake mshiko wao wasepe zao.
 
Wenye wivu wajinyonge

Makonda ni mbunifu sana

Tofauti na wakuu wa mikoa wengine akina business as usual

Wafuasi wa Mwamposa matajiri kibao wa ndani na nje ya nchi wa ulaya na Marekani nk watashiriki hayo mashindano ndio maana kambeba ili kuwaaminisha kuwa njia nzuri na imepata upako wake waje tu watabarikiwa wakipita hiyo njia na magari yao

Mtume Mwamposya ni Brand kubwa sana kimataifa hiyo Mama Samia motocross Arusha patakuwa hapatoshi itakuwa patashika nguo kuchanika

Mahoteli Arusha jiandaeni mahoteli yenu kujaa na uchumi wa Arusha kuchangamka kwa hiyo Event
Eh

Ova
 
Hao wote ni wachawi kila mmoja anaupiga mwingi kwenye njia yake wanakutana kwenye maokoto
 
1720895333979.jpg

1720895342287.jpg
 

Attachments

  • 1720895356323.jpg
    1720895356323.jpg
    598.9 KB · Views: 3
Ila tuache Utani, Arusha ni kamba Mambele tu

Yaani Arusha ni sehemu ya U.S.A iliyopo Tanzania...Hapo ni kama Makonda anamzungusha Mwamposa TEXAS kabisa Wakuu
Eti Arusha ni kama Texas. Hivi unaijua Arusha kweli?

Katikati ya jiji la Arusha kuna nyumba kibao za udongo zilizozungukwa na maghorofa ya hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom