Wenye wivu wajinyonge
Makonda ni mbunifu sana
Tofauti na wakuu wa mikoa wengine akina business as usual
Wafuasi wa Mwamposa matajiri kibao wa ndani na nje ya nchi wa ulaya na Marekani nk watashiriki hayo mashindano ndio maana kambeba ili kuwaaminisha kuwa njia nzuri na imepata upako wake waje tu watabarikiwa wakipita hiyo njia na magari yao
Mtume Mwamposya ni Brand kubwa sana kimataifa hiyo Mama Samia motocross Arusha patakuwa hapatoshi itakuwa patashika nguo kuchanika
Mahoteli Arusha jiandaeni mahoteli yenu kujaa na uchumi wa Arusha kuchangamka kwa hiyo Event