Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

Kwani wewe yanatoka majimaji tu siyo ule uji mzito?
 
Umeeleza vizuri kabisa mpaka nimependa, kinacho mponya mtu ni imani yake mwenyewe. Kila mtu amejaliwa nguvu ndani yake ila nguvu za wengi zimepoa, na ni wachache wanaoweza kutumia nguvu zao.

Hivyo ili nguvu iliyo ndani yako itende kazi inatakiwa kuamshwa na mtu ambaye yeye nguvu yake iko active, na hicho ndicho wanachofanya hawa watu wanaoitwa watenda miujiza. (Yaani anakusaidia kuamsha nguvu iliyo ndani yako ili itende kazi) na kama isipo amka basi hamna kitacho tokea.

Mtu anapopewa maji ya upako na kuambiwa yatamponya, ataweka imani kubwa sana katika lile neno, na akiyatumia anapona kweli, lakini mwingine atachukua maji hayo hayo ayatumie na asipone, hapo ndio utajua kiponyacho ni imani sio maji.
 
Reply yako hamejibu Bongo Trust comment no #22 kamsome utaelewa
 
Umeeleza vizuri kabisa mpaka nimependa, kinacho mponya mtu ni imani yake mwenyewe. Kila mtu amejaliwa nguvu ndani yake ila nguvu za wengi zimepoa, na ni wachache wanaoweza kutumia nguvu zao....
Umemaliza kila kitu, ndio maana nimesema acha mwamposa awapige hela maana yeye kajua siri ambayo watu hawaijui, ndio maana mafundisho yake yeye anajaza watu imani
 
Reply yako hamejibu Bongo Trust comment no #22 kamsome utaelewa
Jamaa nimemuelewa kwamba imani yako ndio hufungua nguvu ambazo binaadamu tunazo na hapo ndio miujiza hutendeka, sasa mimi nimesema kwamba wapo watu wenye imani hasa kwa maana kama hayo maji washayatumia sana tena kwa imani ya hali ya juu kuwa yatawaponya ila hadi leo hakuna kilichotokea.

Na hata ukiangalia huyo Mwamposa anawafanya watu kumuamini yeye kwamba ni spesho hivyo miujiza hupitia kwake na ndio maana amekuwa akichukua waumini wengi wa wenzie na kuna ushindani wa waumini. Sasa kama ingekuwa yeye anasaidia tu kufungua nguvu zako kwa kukufanya kujenga tu imani yako basi asingekuwa spesho maana hata wenzie wanaiweza hiyo kazi.
 
Wewe dalali wake eti!? Nguvu za giza at work. Endeleeni naye kivyenu!
 
"Kundi kubwa la watu wanaotoka usukumani wengine hata kiswahili Hawajuii wanaenda kushuhudia"


Umemaanisha nini hapa kuleta dharau kwa kabila la watu tena kabila kubwa luliko la kwako shenzi wewe!!!
 
Propaganda hamn kitu kama icho milele hakiwezi kutokea

International pumba provider(IPP)
Karibu jpl hii ukanyage mafuta na upate uponyaji....kupinga kazi ya Mungu ni moja ya dalili ya mapepo njoo utolewe mapepo katika Jina la Yesu..ufungamanishwe na madhabahu ya mwamposa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…