Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Unabii upo na utaendelea kuwepo mpaka Mungu atakapokuja kumchukua kanisa, as long Mungu hajachukua kanisa unabii upoUnabii unatoka kwa Mungu , ameshakuja duniani akatimiliza unabii wote na akaweka wazi yote yajayo,
Hakuna nabii alikiwa anasoma unabii wa mababiii , kama yupo weka hapa
Kuna vitu vinachekesha wewe ni nabii ili kuthibitisha unasoma unabii wa kwenye biblia badala utamke unabii tuandike tuweke kwenye biblia
Katika kosa kubwa walilofanya wayahudi ni kutokutumia nguvu ya unabii amekuja YESU mpaka anaondoka walishindwa kungamua yule ndo masiha matokea yake mpaka Leo wanamsubiria masihi
Hakuna sehemu nimesema mim ni nabii Ila nachojua unabii upo na hakuna sehemu kwenye biblia imesema unabii umekoma baada ya YESU kuondoka