Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nan uyo au ni chalamilaSometimes Mungu aweza kukuponya kwa kukuonea huruma unavyosumbuka na makanisa.
Ref, mkuu wa mkoa aliyepigwa chini akakumbukwa majuzi, alikuwa anaimba kwaya huko huko kwa Mwamposa
Hii ndio ninachojaribu kuwaambia watu anawalisha watu imani saana, hizo mambo za kupiga sadaka ni binadamu lakini huwezi shikiwa bastola ukatoe sadaka lakini mafundisho yake ni worth enough kuyasikilizaMimi sometimes nikiwa free namsikiliza,jamaa ana upako wa kumwaminisha mtu ukaona tatizo dogo na ukapona kwa imani yako
mi mara ya mwisho kwenda ni week iliyopita ,kuna kipindi nilikwama kikazi,nikawa namwangalia kwenye tv,jumapili iliyofuata nikaenda Kawe ,aiseee ile wiki nilipata kazi ya maana,kuanzia hapo nikaamini hapa ni sahihiBwana parakatumba mm binafs naendaga Sana kwa buldozer na Wala sijawai kujutia kwenda ingawa mm Ni mkkkt senior kbsa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sio kweli Kuna mtu alisema lile vuguvugu la corona kabla hata ya malock down kwamba Dunia inaingia kwenye new chapter na ishara moja wapo Hali ya uchumi itakua ngumu sana ni kweli Dunia inapitia katika kipindi kigumuYesu alivyo kuja hakuna nabii tena
Nadhani anamaanisha huyoNan uyo au ni chalamila
Sio kweli Kuna mtu alitos unabii kipindi kile vuguvugu la corona ndo linaanza kabla hata ya malock down kwamba Dunia inaingia kwenye new chapter na ishara moja wapo Hali ya uchumi itakua ngumu sana ni kweli Dunia inapitia katika kipindi kigumuYesu alivyo kuja hakuna nabii tena
Sureekila mtu aishi anavyoweza,lakini ukiwa hujapata tatizo unaweza ukaona ni uhuni,ila shida ikipiga hodi kwako adi Geo devi utamtafuta
Sent from my CAM-AL00 using JamiiForums mobile app
Mkuu Usifananishe Viazi mbatata na vitu vya Kijinga jinga.Kama Ufanunuzi wote wa mtoa mada bado hujaelewa Point ya Mtoa mada basi wewe ni Kiazi Mbatata.
yule jamaa ile kazi ameamua na pia siyo ajabu Mungu kumtumia mtu kama yule ,jamaa kila siku hapunziki programs kibao za maombi siyo hawa mapasta wa kushikana mashati mtaaniHii ndio ninachojaribu kuwaambia watu anawalisha watu imani saana, hizo mambo za kupiga sadaka ni binadamu lakini huwezi shikiwa bastola ukatoe sadaka lakini mafundisho yake ni worth enough kuyasikiliza
Yuko sahih kbsa acha apate kwani yule was Nigeria bwan Joshua nabii mbna kafa na kaacha Kila kitu duniani so hzo pesa Ni zake tu akiwahapa duniani akifa pesa na Mali zinakuwa za watu wengine mm sioni shida mwamposa kupiga pesa apige ahaswa Tena ikiwezekaan pato lako la jpili moja igonge bilion moja hkn shidaAnachofanya mwamposa ni kwamba ali-invest mda wake kumtafuta Mungu akapata hii power then kwa sababu yeye ni mjanja mjanja anatumia nguvu alizo nazo kupiga hela si dhambi.kuna siku kwenye tv nilimsikia anasema kumtumikia Mungu sio ticket ya wewe kua maskini
sawasawa na wewe unalima mashamba mwisho wa siku upate faida kwa investment uliyofanya.
Ulitaka asome nini?au ulitaka aanzishe kitabu chake.?Kwa Nini nabii anasoma biblia?
Sahih kbsa mm mwenye itabidi kesho niwai kwenda mnk Kuna maahli nimepeleka CV sas boss amekubali mm nipewe kazi Ila mtu aliye kabidhiwa anipe ajira naonna analeta chenga chenga sas ngoja niende kwa buldozermi mara ya mwisho kwenda ni week iliyopita ,kuna kipindi nilikwama kikazi,nikawa namwangalia kwenye tv,jumapili iliyofuata nikaenda Kawe ,aiseee ile wiki nilipata kazi ya maana,kuanzia hapo nikaamini hapa ni sahihi
Gosina ole omkaya du..wabeja sana ongwise.Sawa nimetolea mfano Mimi mwenyewe ni mnyatunzu Wa bariadi tena msukuma halisi
Kuna kitu kwenye maisha hukijui au unajitoa mfano Kuna matajiri wengi tu wameenda kwa waganga wameloga na wamefanikiwa, wengi wameenda kwa wachungaji wengine wameenda mpaka kwa mashehe maisha is Al about choice na usione ni wajingaWapumbavu tu ndo wanaenda si aende hospital wako serious ....Nilijua huna akili tu kufuata maigizo danganya wajinga wenzio wa huko kwenu
Unabii unatoka kwa Mungu , ameshakuja duniani akatimiliza unabii wote na akaweka wazi yote yajayo,Sio kweli Kuna mtu alitos unabii kipindi kile vuguvugu la corona ndo linaanza kabla hata ya malock down kwamba Dunia inaingia kwenye new chapter na ishara moja wapo Hali ya uchumi itakua ngumu sana ni kweli Dunia inapitia katika kipindi kigumu
Zaman za agano la kale manabii walikua beneth na wafalme mfano yusuphu alimtafsiria farao ndoto na kumwambia ni mambo gani yampasayo kufanya
Nabii anatuamia mambo yajayo na jinsi ya kujipanga, kwa sababu mambo magumu yakija ni rahisi watu kumdhihaki Mungu mfano mwaka 2030 hatujui nin kitatokea lakin nabii anaweza tuambia nin kitatokea na mambo yatupasayo kufanya sio 2030 hadi 2100 manabii wanajua nin kitatokea