Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

Unabii upo na utaendelea kuwepo mpaka Mungu atakapokuja kumchukua kanisa, as long Mungu hajachukua kanisa unabii upo

Katika kosa kubwa walilofanya wayahudi ni kutokutumia nguvu ya unabii amekuja YESU mpaka anaondoka walishindwa kungamua yule ndo masiha matokea yake mpaka Leo wanamsubiria masihi

Hakuna sehemu nimesema mim ni nabii Ila nachojua unabii upo na hakuna sehemu kwenye biblia imesema unabii umekoma baada ya YESU kuondoka
 
Sio kweli Kuna mtu alitos unabii kipindi kile vuguvugu la corona ndo linaanza kabla hata ya malock down kwamba Dunia inaingia kwenye new chapter na ishara moja wapo Hali ya uchumi itakua ngumu sana ni kweli Dunia inapitia katika kipindi kigumu
Embu sema alichosema hakipo ndani ya biblia?
Kama hakipo kitabu chake na unabii wake tunauweka wapi kwenye biblia
 
Hakuna unabii baada ya Yesu
 
Embu sema alichosema hakipo ndani ya biblia?
Kama hakipo kitabu chake na unabii wake tunauweka wapi kwenye biblia
Hujui biblia ndo nachokiona kwako alafu hutaki kujifunza

Mfano sahiv Tanzania iko katika kipindi kigumu mbeleni ni Giza, tunahitaji nabii atuambie ni mambo gani ambayo kama nchi tunapaswa kutafanya ili yatusaidie kiuchumi

Mfano kabla nebukadreza hajavamia yerusakemu yeremia akimwambia yahakim na baadae sedekia waondoke sababu Israel itavamiwa hawamkusikiliza matokeo yake nchi ikavamiwa,

baada ya uharibifu wa nebukadreza wa kuharibu hekalu na sanduku la agano wale waliobaki wakamfuata Tena yeremia ni mambo gani wanayotakiwa kufanya yeremia akawaambia mnatakiwa mbaki lakin hawakumsikiliza

Point yangu ni kwamba manabii kazi Yao ni ya muhimu sana tunafanya Kosa lile lile la kuwapuuzia
 
Ndio maana nimekwambia manabii waliishia Yesu alivyokuja , hao wote uliowataka walikuwa wanatamka yanaandiko ndio maana na wewe unasoma biblia , hakuna nabii anasoma biblia aliwahi kuwepo

Ni ujinga kusoma biblia alafu utuambie wewe ni nabii , tamka unabii sema kitabu chako tukiweke kwenye biblia
Unasoma unabii wa yeremia alafu unatuambia wewe nabii 😂😂😂
 
Mfano sahiv Tanzania iko katika kipindi kigumu mbeleni ni Giza, tunahitaji nabii atuambie ni mambo gani ambayo kama nchi tunapaswa kutafanya ili yatusaidie kiuchumi
Mkuu hii dalili ya brainwashing ya hatari, nchii inahitaji think tanks sio manabii wa michongo
 
Mpaka jamaa kuhimiza saana basi naona kuna siri ndani yake, alisema unairudia mara saba, asubuhi, mchana na usiku .......Mimi mambo ya sadaka na mngine ni juu yake Mimi ninachoangalia ni energy yake, mtu mda wote yuko madhabauni utamlinganisha na nani
 
Mumshauri bc huyo Nabii apite mitaani kuna walemavu wengi sn ambao wanahitaji kuponywa.

Aanzie Kariakoo.




Nawasilisha.
Alianzia huko, anahubiri Mitaani, kama Wahubiri wa Mtaani tukiwaona Mijasho inawatoka, Biblia mkononi, tunawaona Wendawazimu, Mwamposa kaanzia huko....!

Mpaka Mke wake alimkimbia enzi zake wakati akimtafuta Mungu.... Choka Mbaya, Nguo Kauka nikuvae, ulizia habari zake.
 
Alikua na kanisa lake pale karibu na malindi nadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…