Ni keep naomba upate muda unifunulie kidogo nipate mwanga kuhusu hiyo calculationKuna hesabu pale zilipigwa alafu ni nadra sana kukuta vinafundishwa kanisani hakukua na miujiza Bali watu waliumiza akili
HapanaSamahani Mr umesoma Ub state?
Anayejua huyu ni nabi fake au sio ni Mungu wewe ni MunguSasa uwe unasoma , nabii anatamkishwa na Mungu , anatamka unabii unaandikwa NDio unaona Kwenye biblia unabii kuanzia kina isaya ambae alitembea uchi mwaka mzima anatamka unabii unaandikwa na miaka 700 badae yesu amekuja kuusoma akasema umetimia
Sasa awa manabii wako feki wameandika wapi?
Hata ukienda hospital Kuna wagonjwa wameshindwa kutibiwa simteti mwamposa Ila haya mambo ya kutibu wagonjwa ni magumu kwa pande zoteDah ila WAJINGA NDO WALIWAO
Walitamba akina kakobe enzi hizo wakapigwa watu hela wakapotea saivi wapo akina buldozer nao wanapita mulemuleeeee
Anotaka kuamini na Aamini
Walemavu wapo mitaani kibao kma anatibu kweli awatibu tuone Tz hakuna mlemavu ata 1
Anae jiita nabii baada yesu ni fake ,Anayejua huyu ni nabi fake au sio ni Mungu wewe ni Mungu
We nani bro only God can judge them na sio wewe, wewe ni mwanadamu tu ambaye utarudi mavumbiniAnae jiita nabii baada yesu ni fake ,
Unabii sio kukaa kutamka flani anatoka nje ya ndoa, NDio nimekupa mfano isaya alitembea uchi mwaka mzima anatamka unabii,
Huyo wako ata kushinda nyumbani na boxa hawezi
Wafundishe neno kama lilivyo andikwa hakuna neno jipya baada ya bibliaWe nani bro only God can judge them na sio wewe, wewe ni mwanadamu tu ambaye utarudi mavumbini
Hiyo umesema wewe, Mungu ndo atakayewahukumu na sio wewe unafikiri wewe kutokuwabali ndo unawapunguzia kitu huwapunzii chochoteWafundishe neno kama lilivyo andikwa hakuna neno jipya baada ya biblia
Hakuna jipya baada ya biblia , Mungu alishakamilisha kwa kuja kwa YesuHiyo umesema wewe, Mungu ndo atakayewahukumu na sio wewe
Wewe mwenye biblia hujui alafu unataka watu wengine wafundishwe, jifunze kwanza biblia hujui ni mweupeWafundishe neno kama lilivyo andikwa hakuna neno jipya baada ya biblia
Ata Paul aliitwa mtume sio nabii maana hakuna kijacho, alifundisha kilichokuwepoHiyo umesema wewe, Mungu ndo atakayewahukumu na sio wewe unafikiri wewe kutokuwabali ndo unawapunguzia kitu huwapunzii chochote
Mkuu nenda ukapigwe hela zako na wajanja wa MjiniWavaa Kobaaz watapinga.
Hujui biblia utume na unabii ni huduma mbili tofauti hata karama za rohoni huzijuiAta Paul aliitwa mtume sio nabii maana hakuna kijacho, alifundisha kilichokuwepo
Wewe ndio hujui , unadai Kuna nabii baada ya Yesu , analeta unabii gani na vitabu vya unabii wao tutaviweka wapi?Wewe mwenye biblia hujui alafu unataka watu wengine wafundishwe, jifunze kwanza biblia hujui ni mweupe
Barua kwa wakorintho Paulo ametaja unabii ni karama mojawapo we unasema haupo nani muongo ndo nikasema hujui bibliaWewe ndio hujui , unadai Kuna nabii baada ya Yesu , analeta unabii gani na vitabu vya unabii wao tutaviweka wapi?
Ndio hakuna nabii baada ya yesu yote yalikamilika hakuna habari mpya ya yajayo , Yesu pale msalabani alisema imekwisha hii alikamilisha unabii na kusema el el lama sabachthani aya maneno aliyatamka kukamilisha unabii ulioandikwaHujui biblia utume na unabii ni huduma mbili tofauti hata karama za rohoni huzijui