Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

Dah ila WAJINGA NDO WALIWAO

Walitamba akina kakobe enzi hizo wakapigwa watu hela wakapotea saivi wapo akina buldozer nao wanapita mulemuleeeee

Anotaka kuamini na Aamini
Walemavu wapo mitaani kibao kma anatibu kweli awatibu tuone Tz hakuna mlemavu ata 1
 
Sasa uwe unasoma , nabii anatamkishwa na Mungu , anatamka unabii unaandikwa NDio unaona Kwenye biblia unabii kuanzia kina isaya ambae alitembea uchi mwaka mzima anatamka unabii unaandikwa na miaka 700 badae yesu amekuja kuusoma akasema umetimia

Sasa awa manabii wako feki wameandika wapi?
Anayejua huyu ni nabi fake au sio ni Mungu wewe ni Mungu
 
Dah ila WAJINGA NDO WALIWAO

Walitamba akina kakobe enzi hizo wakapigwa watu hela wakapotea saivi wapo akina buldozer nao wanapita mulemuleeeee

Anotaka kuamini na Aamini
Walemavu wapo mitaani kibao kma anatibu kweli awatibu tuone Tz hakuna mlemavu ata 1
Hata ukienda hospital Kuna wagonjwa wameshindwa kutibiwa simteti mwamposa Ila haya mambo ya kutibu wagonjwa ni magumu kwa pande zote
 
Anayejua huyu ni nabi fake au sio ni Mungu wewe ni Mungu
Anae jiita nabii baada yesu ni fake ,

Unabii sio kukaa kutamka flani anatoka nje ya ndoa, NDio nimekupa mfano isaya alitembea uchi mwaka mzima anatamka unabii,

Huyo wako ata kushinda nyumbani na boxa hawezi
 
We nani bro only God can judge them na sio wewe, wewe ni mwanadamu tu ambaye utarudi mavumbini
 
Hiyo umesema wewe, Mungu ndo atakayewahukumu na sio wewe unafikiri wewe kutokuwabali ndo unawapunguzia kitu huwapunzii chochote
Ata Paul aliitwa mtume sio nabii maana hakuna kijacho, alifundisha kilichokuwepo
 
Wewe mwenye biblia hujui alafu unataka watu wengine wafundishwe, jifunze kwanza biblia hujui ni mweupe
Wewe ndio hujui , unadai Kuna nabii baada ya Yesu , analeta unabii gani na vitabu vya unabii wao tutaviweka wapi?
 
Wewe ndio hujui , unadai Kuna nabii baada ya Yesu , analeta unabii gani na vitabu vya unabii wao tutaviweka wapi?
Barua kwa wakorintho Paulo ametaja unabii ni karama mojawapo we unasema haupo nani muongo ndo nikasema hujui biblia
1 Wakorintho 12:4 - 11
“Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule. Tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni yeye yule. Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote. Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana. Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima; na mwingine neno la maarifa, apendavyo Roho yeye yule; mwingine imani katika Roho yeye yule; na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja; na mwingine matendo ya miujiza; na mwingine unabii;
 
Hujui biblia utume na unabii ni huduma mbili tofauti hata karama za rohoni huzijui
Ndio hakuna nabii baada ya yesu yote yalikamilika hakuna habari mpya ya yajayo , Yesu pale msalabani alisema imekwisha hii alikamilisha unabii na kusema el el lama sabachthani aya maneno aliyatamka kukamilisha unabii ulioandikwa
 
Back
Top Bottom