Mwamposa: Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu

Mwamposa: Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu

Utapeli wa kuwauzia watu udongo, huku ukitumia jina la Mungu, ni kufuru kubwa!!

Najua Mungu wa kweli huchelewi wala hukawii. Huwajibu walikufuruo jina lako wakati ulio sahii na kwa namna na jinsi iliyo sahihi.
 
Natamani Kujua kama amewahi kusema chochote juu ya Utekaji, Upoteaji na mauaji ya watu vinavyoendelea hapa nchini...
 
Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu

Source: WASAFI media

My take; Chadema wawe Waelewa

Mlale Unono 😃😃🌹🌹
Hata hiyo biashara ya kuuza maji na Mafuta bila kulipia Kodi inaharibu utukufu wa Mungu.

Hivyo aanze kulipia Kodi kwanza.

Yesu alitibu bure Iweje yeye ageuze kuwa biashara??
 
Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu

Source: WASAFI media

My take; Chadema wawe Waelewa

Mlale Unono 😃😃🌹🌹
Hivi mafungo aliyofanya ili kufika mwezi wa 8 mwaka huu mtandao wa X uwe umeshafutika bado yanaendelea?
 
Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu

Source: WASAFI media

My take; Chadema wawe Waelewa

Mlale Unono 😃😃🌹🌹
Kwanza huo utume limepewa na nani?

Pili, Lilipe Kodi kwa biashara ya kuuza Mafuta na maji.
 
Hivi Hadi Leo hii kuna mtu hajui huu "ushirika" wa nyumba ya pazia wa dini na serikali?
 
Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu

Source: WASAFI media

My take; Chadema wawe Waelewa

Mlale Unono 😃😃🌹🌹

Interesting....kweli mida inabadilika. Baada ya Mzee wa upako, sasa Mwamposa
 
Aendelee kutapeli watu na udongo mtakatifu WA Arusha na kukanyaga mafuta.
Pia aache tabia ya kuchanganya dini na siasa!
 
Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu

Source: WASAFI media

My take; Chadema wawe Waelewa

Mlale Unono 😃😃🌹🌹
MR MWAMPOSA TAPELI SANA ANAWAIBIA SANA WAJANE NA MA SINGLE MOTHER HUYU JAMAA
 
Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu

Source: WASAFI media

My take; Chadema wawe Waelewa

Mlale Unono 😃😃🌹🌹
Akianza hizi habari atapotea kwenye game. Awe na focus.
 
Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu

Source: WASAFI media

My take; Chadema wawe Waelewa

Mlale Unono 😃😃🌹🌹
Ufisadi na mauaji yanabariki huo utukufu? Wazungu walimtumia yesu kitutawala na kuwanyanyasa bibizetu kingono, anamwamini huyu fisadi akapimwe akili
 
Akasome Yoshua 6

" Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, watu walipozizunguka kwa siku saba." Waebrania 11:30
Ama anazania walizunguka wakiwa wamelala et?
 
Back
Top Bottom