Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,804
- 2,128
Sihaelewa analenga nini, labda lama anafanya siasa sawa, lkn Kuna mahali kwenye bible wameandika Yesu aliingia Yerusalemu akiwa na umati mkubwa wa watu, yaani waliandama akiimbiwa Hosana hosana mwana wa Daud. Maandamano! Walitandika nguo wakiwa na Matawi na shangwe nyingi akuwa na mitume na wafuasi. Sidi RC pia huandamana kwenye siku ya Matawi, Rkaristi Takatifu pia.