Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Kwanza Mimi siyo shabiki wa chama chochote Cha siasa.Leo mnamkataa mwamposa kisa anawashauri muwakatae Chadema na fujo zao??
Nyinyi wanakondoo mna tabu sana.
Pili, Mwampisa sijawahi kumkubali na siyo yeye peke yake Bali hata yule kiboko ya wachawi na wengine wanaojiita Manabii wote ni matapeli.
Njoo Roman Catholic tumuabudu Mungu wa Kweli .
Siyo kanisa mume mchungaji ,mke mwema hazina watoto wakusanya sadaka. Ndugu wahamasiahaji wa watu watie sadaka Hilo siyo kanisa ni kikundi Cha matapeli.