Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Kwanza Mimi siyo shabiki wa chama chochote Cha siasa.Leo mnamkataa mwamposa kisa anawashauri muwakatae Chadema na fujo zao??
Nyinyi wanakondoo mna tabu sana.
Utukufu upi..?Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Source: WASAFI media
My take; Chadema wawe Waelewa
Mlale Unono πππΉπΉ
Utukufu kwa Mungu Juu Mbinguni na Amani duniani kwa Watu aliowaridhia πΉUtukufu upi..?
Ila we jamaa siku hizi umekuwa upinde.Wewe na huyo nabii wako wote ni wapuuzi fulani tuu
Wakupeleka udongo..? Kwa sisi wamwaminio huwa tumesha onywa na kirsto juu ya hawa wachumia tumbo waliokuja kwa jina la kristo yesu.Utukufu kwa Mungu Juu Mbinguni na Amani duniani kwa Watu aliowaridhia πΉ
Huyo mtoa roho za wafuasi wake wajinga na vilaza kama bashite mzee wa nyashiiiNabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Source: WASAFI media
My take; Chadema wawe Waelewa
Mlale Unono πππΉπΉ
Kuzaa na video vixen kuna utukufu? Utapeli unaofanya una utukufu?Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Source: WASAFI media
My take; Chadema wawe Waelewa
Mlale Unono πππΉπΉ
Kuwataka nyumbu wawe waelewa ni kuwatafuta lawama tu π€£My take; Chadema wawe Waelewa
Un akili matope na kiduchuHii ndio mihemko.
Alikuibia nini?
Yeye aendelee kuwapumbaza wajinga kwa bukubuku za upakoNabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Source: WASAFI media
My take; Chadema wawe Waelewa
Mlale Unono πππΉπΉ
Je mauaji ndiyo yanaleta utukufu? Huyu ameshashiba ale kwa ustaarabu. Mimi nishauri pande zote mbili CCM na CDM kama vyama vikuu vya kisiasa vyenye wanachama na ushawishi mkubwa wa wawanchi nchini vikae pamoja na kuweka vema mstakabali mzima wa Taifa letu, Sidhani mahali nchi ilipofikia majeshi yanaweza kusaidia,kwasababu hivi vitu vinaratibiwa kisiasa na kisheria na jeshi linaendeshwa kwa mujibu wa sheria tu. CDM kama kingekuws kinavunja sheria ya nchi hicho chama kingefutwa kisheria lakini kwakuwa kinafanya mambo yake kwa mujibu ya sheria vyombo vya Dola vitaonekana vinaingilia mnyukano wakisiasa wawashindani wakubwa na hapo ndipo kunakuwa chanzo cha vurugu na mauaji.Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Source: WASAFI media
My take; Chadema wawe Waelewa
Mlale Unono πππΉπΉ
Siku hizi hata Wachawi na Matapeli nao wanamtukuza Mungu na Utukufu wake? Hawaogopi?Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Source: WASAFI media
My take; Chadema wawe Waelewa
Mlale Unono πππΉπΉ
Kama ni hivyo yaondolewe kwenye katiba ya nchi. Freemason mkubwa huyu.Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Source: WASAFI media
My take; Chadema wawe Waelewa
Mlale Unono πππΉπΉ
Hivi wakati Yesu anaingia Yerusalemu amepanda punda na wanawake wakatandika mavao yao chini apite, hayakuwa maandamano yale?Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Source: WASAFI media
My take; Chadema wawe Waelewa
Mlale Unono πππΉπΉ