Mwamposa: Naamini Serikali haitaruhusu mitandao inayohamasisha Ushoga kuendelea kuwepo nchini

Huyu aliwakanyagisha raia mafuta wakafa kwa makumi huko Moshi na mpaka leo bado anadunda tu uraiani.
 
Mitandao ya ngono imefunguliwa na wototo sasa wanagonoka kisawasawa! Sasa unaongea nini?
 
Je, alichozungumza kina maana ama kwasababu aliyezungumza humkubali hivyo na alichozungumza hukikubali.

Hakina maana kwa vile hana dhamira ya kuuvhukia ushoga.

Si umesikia jinsi wabakaji na walawiti waliopo ndani ya Serikali? Yaani wabakaji na wanaolawiti mpaka wanafunzi, eti wakaifungie mitandao ya kijamii kwa vile inahamasisha ushoga! Kama tunauchukia ushoga na tabia zote chafu, mbona hatujaifungie Serikali iliyojaa uchafu wa kupindukia, kuuzidi hata ushoga.
 
Ushoga, ubakaji na ulawiti vimejaa mpaka Serikalini. Basi tuifungie na Serikali. Fikiria mpaka tuna viongozi wa Serikali wabakaji na walawiti, halafu kwa unafiki tunajifanya tunachukia ushoga!
Kumejaa aibu tupu
 
Ni mambo ya kijinga tu
 

Rais ajae afunge makanisa ya wahuni yote ili kunusuru wananchi kutapeliwa kama kagame alivyo thubutu kule rwanda
 
Serikali gani itafungia mtandao wa mabeberu? Mabeberu ndio wafadhili na wahisani wa nchi hawatakubali mtandao wao ufungiwe. Watasema serikali inabana uhuru wa kujieleza na kupata habari na kuonekana hakuna demokrasia. Kiongozi wa nchi ataonekana ni imla asiyetambua haki za raia wake
 
Wanautangaza ushoga kwa namna tofauti.
Serikali janja sana
 
Hivi enzi za Sodoma na gomora walikuwa wanatumia mtandao gani? Yaani serikali imeona kibano sasa wametafuta kichaka cha ushoga
 
Hii ni point na hapo ndipo tunafeli kama taifa.

Wenye nafasi ya kuzungumza ni wanafiki na wananchi ni waoga(coward).
 
Vipi na yeye anayetumia kivuli cha dini kwa ajili ya kutapeli watu, wanaifanya dini biashara.
 
==
Mtumishi wa Mungu na wanadamu anayeheshimika zaidi duniani Apostle Boniface Bulldozer Mwamposa ameitaka Serikali ya Tanzania kuufungia mtandao wa X kwa maramoja kwa kosa la kuhamasisha Ushoga na Usagaji Tanzania.

Bado haijafahamika kama Serikali ya Tanzania chini ya Waziri wake wa habari na mawasiliano Mhe Nape Nauye watatii agizo hili au laa.

Watanzania walio wengi wanakubaliana na maoni ya Apostle kwani kesho ya watoto wenu ni muhimu zaidi kuliko X au Mtandao wowote,

Mungu ibariki Tanzania,Nasisi na Mwamposa.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…