Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mchawi mkuu aliyejificha kwenye kichaka cha uchungaji anatoa maagizo ya kichawi kwa waziri hii ni kwa TZ tu!!!!==View attachment 3037224
Mtumishi wa Mungu na wanadamu anayeheshimika zaidi duniani Apostle Boniface Bulldozer Mwamposa ameitaka Serikali ya Tanzania kuufungia mtandao wa X kwa maramoja kwa kosa la kuhamasisha Ushoga na Usagaji Tanzania.
Bado haijafahamika kama Serikali ya Tanzania chini ya Waziri wake wa habari na mawasiliano Mhe Nape Nauye watatii agizo hili au laa.
Watanzania walio wengi wanakubaliana na maoni ya Apostle kwani kesho ya watoto wenu ni muhimu zaidi kuliko X au Mtandao wowote,
Mungu ibariki Tanzania,Nasisi na Mwamposa.
Huyu ni Tapeli wa Injili, Zile Clouds FM na Wasafi Fm zimejaa mashoga pia je anasemaje huko?==View attachment 3037224
Mtumishi wa Mungu na wanadamu anayeheshimika zaidi duniani Apostle Boniface Bulldozer Mwamposa ameitaka Serikali ya Tanzania kuufungia mtandao wa X kwa maramoja kwa kosa la kuhamasisha Ushoga na Usagaji Tanzania.
Bado haijafahamika kama Serikali ya Tanzania chini ya Waziri wake wa habari na mawasiliano Mhe Nape Nauye watatii agizo hili au laa.
Watanzania walio wengi wanakubaliana na maoni ya Apostle kwani kesho ya watoto wenu ni muhimu zaidi kuliko X au Mtandao wowote,
Mungu ibariki Tanzania,Nasisi na Mwamposa.
Kule anawafundisha kwa miujiza fakeAwafundishe watu kuacha dhambi, siyo kufungia mitandao.
Hizo video za x mbona hata hatuzioni, hawa wahubiri wafanye kazi waliyoitiwa
Ametumwa aturoge tuipende mboga mbogaAnasema Wachina wenzake je Huko China wanakwapua pesa za Maskini kwa Maombi?
Tunaendeshwa na imani zisizotusaidia na wala sio Ushoga kuendesha Nchi.
Huyu Mzee anataka kuhamisha mjadala tuache kujadili Uongozi mbovu wa ccm na serikali yake tuanze kujadi inya za watu.
Wahubiri wasio na faida. Huwezi kuwasikia wakihubiri vitu vya maana kila sikukuwajaza Waumini Hisia za Uchawi, ulozi, uganga, laana, mikosi na Umaskini tu.Awafundishe watu kuacha dhambi, siyo kufungia mitandao.
Hizo video za x mbona hata hatuzioni, hawa wahubiri wafanye kazi waliyoitiwa
Hilo nalo atasema ametabiri😅😅Hii michezo huwa wanaipanga nje ya uwanja halafu baadae wanaenda kuicheza uwanjani.
Atashindwa.....anatafuta vita asiyoiweza.Ameona X wamestukia utapeli wake
Huyu ni mpigaji tu==View attachment 3037224
Mtumishi wa Mungu na wanadamu anayeheshimika zaidi duniani Apostle Boniface Bulldozer Mwamposa ameitaka Serikali ya Tanzania kuufungia mtandao wa X kwa maramoja kwa kosa la kuhamasisha Ushoga na Usagaji Tanzania.
Bado haijafahamika kama Serikali ya Tanzania chini ya Waziri wake wa habari na mawasiliano Mhe Nape Nauye watatii agizo hili au laa.
Watanzania walio wengi wanakubaliana na maoni ya Apostle kwani kesho ya watoto wenu ni muhimu zaidi kuliko X au Mtandao wowote,
Mungu ibariki Tanzania,Nasisi na Mwamposa.
Katumwa na CCM huyu tapeli.==View attachment 3037224