Mwamposa: Naamini Serikali haitaruhusu mitandao inayohamasisha Ushoga kuendelea kuwepo nchini

Kuna mavituo vya redio vimejaza mashog,kuna wasanii wakubwa nchini mashoga ndy maswaiba wao na wako panoja kwenye shuguli zao
Ukija huku uraiani uswazi kwenye mashuguli mashog lazima wawepo
Huyu mchungaji anaongea nini

Ova
 
Tuanze na Tanzania
 
maigizo mengi ya tamthilia, lazima waigize ushoga, wanaume wanavaa kama wanawake, wanalembua, wanacheza kama wanawake, uchafu mtupu. tv na radio za mawingu inajulikana kitambo, mambo mengi yapo, hao machawa wengi ni mashoga, mambuzi kabisa.
 
Hayo hawayakemei wakati yapo miaka nenda rudi

Ova
 
Your browser is not able to display this video.

Mtumishi wa Mungu Mwamposa aliagiza Serikali iufungie Mtandao wa X kwakuwa unaeneza Ushoga,

Nape akapuuza yaliyomkuta sote tumeyaona hivyo nakutahadharisha kwa nia njema usikawie kufanya hili.
 
View attachment 3051440
Mtumishi wa Mungu Mwamposa aliagiza Serikali iufungie Mtandao wa X kwakuwa unaeneza Ushoga,

Nape akapuuza yaliyomkuta sote tumeyaona hivyo nakutahadharisha kwa nia njema usikawie kufanya hili.
Kwa nini mwamposa asimuombe huyo mungu wake azime mtamdao wa x Tanzania hadi aiombe tcra, kwani huyo mungu hana uwezo wa kuzima x yeye mwenyewe?
 
Kama hii ndiyo akili ya Mtanzania, inaishia kutaka X ifungiwe, tuna safari ndefu sana. Kuna matatizo mengi nchini, tungekesha tunaitaka Serikali wayatatue. Watu wako na X ifungwe, acha ccm iendelee kuburuta watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…