LGE2024 Mwamposa: Watu wangu nenda mjiandikishe mkapigie kura CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hii habari sio ya kweli nilikuwepo bukoba kwenye mkutano, kasema kwanza kapewa taarifa na uongozi wa mkoa ahimize watu wakajiandikishe na wachague kiongozi wanayemyaka hajasema chama chochote, mtoa Post huna akili.
Nilisikiliza kongamano pia mtoa post mchochez mana aliongea kwa ufupi Sana, kwamba watu wakajiandikishe hakutaja chama wala jina la kiongozi
 
Mjadala huu unahusu Mwamposa na uhamasishaji wa "watu wake" kuipigia kura CCM. Mwamakula anaingiaje hapa mkuu? Jielekeze kwenye hoja iliyopo kwenye uzi.
Mjinga wewe. Kila siku Askofu Mwamakula yupo na Chadema husemi. Leo Mwamposa kuisemea vizuri CCM unalia umenyanyua mdomo ka mbwa!!!
 
Kweli. Baada ya kuona kiboko ya wachawi amefungiwa huduma na CCM, yeye ameamua kula meza .moja na mafisadi wa CCM.
Bado tuu unamtetea mchungaji wako kiboko ya wachawi? Kwel Wabongo n kichwa cha mwendawazimu.
 
Unaandika maneno mengi ila kichwani sifuri hayasomeki na hayaeleweki... Ndiyo maana papa lenu la katoliki limekubali mfunge ndoa za kufiranah ktk makanisa yenu yenye masanamu ya yesu na maria 💩💩 ukiwa mpuuz ni mpuuz tu
 
Mjinga wewe. Kila siku Askofu Mwamakula yupo na Chadema husemi. Leo Mwamposa kuisemea vizuri CCM unalia umenyanyua mdomo ka mbwa!!!
Mkuu ama kweli wewe ni Mtoto wa Shule ; ngoja nikuache ulivyo. Najua ni utoto tu unakusumbua, ukikua utaacha.
 
Tapeli mkubwa na freemason huyu. Na ni mkwepa kodi ndiyo maana anajigonga kwa CCM
 

Attachments

  • Screenshot_20230505_075141_WhatsApp.jpg
    65.8 KB · Views: 1
Mtibeli alishawahi kusema ukitaka kumiliki pesa basi wewe miliki watu tu
Yupo sahihi kabisa mkuu. Ndio maana watawala wa nchi hii matumbo yao yamejaa kama samaki wanavyojaa kwenye tenga huku wananchi wanaowatawala wakifa kwa utapiamlo.
 
Huu msukule unafaidi sana kuwa na tanzania ya kijinga acha apige kampeni! Hana upako wowote! ni Shetani tu huyu! Wachungaji wa kweli wa kiroho muombeeni huyu majinuni ajulikane mission yake hapa tanzania!
 
Mi mara 💯 ya Mh.Nape Nauye aliye mwanasiasa kusema ya Siasa,kuliko kiongozi wa Dini kutoa maelekezo kwa waumini wake wafanye nini..
Huko ni kuiba haki za msingi za kuchagua na kuchaguliwa.
Kama ni kweli ni Bora haifute kauli yake,kwani inakinzana na Sheria za Nchi.
 
Hivi KiTime na Shoo huwa wanafanyaga nini ?acheni kumwonea Mwamposya jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…