Mwamposa: Watu zaidi ya Laki Nne na Nusu (450,000)+ Wameshiriki mkesha, Kawe

Unashangaa takwimu ya watu, je angekuambia amekusanya zaidi ya Shs 3,000,000,000/= (Billion Tatu), napo utakataa?
Money laundering...
Japo kwa sadaka inawezekana ila idadi ya hao watu hapana.
 
Chukulia kila mmoja ametoa sadaka 1,000/=. Kakusanya shilingi ngapi ?
Hivi watu Laki 4 wanakaa wapi?
Nakumbuka nikienda Kwenye Darby ya kariakoo pale Mkapa Stadium huwa naona umati mkubwa mno.
Na bado hao watu wanakuwa hawajafika laki.
Sasa hapo ufanye mara tano.
Sio mchezo
 
Laki 4 na nusu pale tanganyila packers.. Masihara hayo,

Huu pekee utakuwani muujiza tosha. 🤣 🤣
 
Wachagga walikufa kwa kiherehere chao cha kutaka kila jambo wawe wa kwanza

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…