Mwamposa: Watu zaidi ya Laki Nne na Nusu (450,000)+ Wameshiriki mkesha, Kawe

Mwamposa: Watu zaidi ya Laki Nne na Nusu (450,000)+ Wameshiriki mkesha, Kawe

Unashangaa takwimu ya watu, je angekuambia amekusanya zaidi ya Shs 3,000,000,000/= (Billion Tatu), napo utakataa?
Money laundering...
Japo kwa sadaka inawezekana ila idadi ya hao watu hapana.
 
Chukulia kila mmoja ametoa sadaka 1,000/=. Kakusanya shilingi ngapi ?
Hivi watu Laki 4 wanakaa wapi?
Nakumbuka nikienda Kwenye Darby ya kariakoo pale Mkapa Stadium huwa naona umati mkubwa mno.
Na bado hao watu wanakuwa hawajafika laki.
Sasa hapo ufanye mara tano.
Sio mchezo
 
Laki 4 na nusu pale tanganyila packers.. Masihara hayo,

Huu pekee utakuwani muujiza tosha. 🤣 🤣
 
Mwamposa aliua watu zaidi ya 20 Kilimanjaro mwaka 2020, akakimbia serikali ikamuacha. Ni mambo ya ajabu mwamposa bado yuko uraiani. Mwamposa alitakiwa kua jela kwa mauaji ya kukusudia kwa kuwakanyagisha watu wafuta bila kuchukua tahadhari yoyote na kupelekea vifo vya watu wengi.
Wachagga walikufa kwa kiherehere chao cha kutaka kila jambo wawe wa kwanza

USSR
 
Back
Top Bottom