mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
kwa hyo wewe unataka kusema mlinyimwa goli na kona yake?Hivi wewe, hili la offside umelitoa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hyo wewe unataka kusema mlinyimwa goli na kona yake?Hivi wewe, hili la offside umelitoa wapi?
Umembeba nani? Wakati Yanga kaenda sababu ya ubingwa.Na bado SIO GOLI.ila wanataka wapewe.aibu gani hii kwa nchi.haya yote kayataka simba kuwabeba na kuwapeleka hyko
🤣🤣🤣aibu naona mimi.mkiambiwa pale utopoloni wenye akili wawili tu muwe mnaelewa.Matako wewe hakukua na offside,mpira ulitolewa nje mchezaji akauleta ndani na refa kwa kukataa goli akampa kipa aanzishe.
Ngoja nikukumbushe.kabla ya simba kuanza kuingia makundi.zilikuwa zinaenda timu ngapi za tanzania club bingwa africa na kombe la shirikisho?mnatusumbua BURE HUMU SABABU HAMJUI MPIRAmnatuumiza vichwa tu humu na upumbavu wenuUmembeba nani? Wakati Yanga kaenda sababu ya ubingwa.
Yenu mmeyasahau mmejificha kwenye matokeo ya Yanga,mpaka msemaji wenu jana uwanja wa ndege anaongelea mechi Yanga.
Kwenye history ya mpira wa bongo wewe ndiye ulibebwa na Yanga husishuke daraja na shukuruni wazee wazamani walikuwa na busara ila ingekuwa kizazi hiki ungeshuka daraja.
Kwani Miaka miwili bingwa nani ?Jitahidi msimu huu Azam anakupumulia ukichemka shirikisho lina kuhusu.Ngoja nikukumbushe.kabla ya simba kuanza kuingia makundi.zilikuwa zinaenda timu ngapi za tanzania club bingwa africa na kombe la shirikisho?mnatusumbua BURE HUMU SABABU HAMJUI MPIRAmnatuumiza vichwa tu humu na upumbavu wenu
Kwahiyo wewe mjinga aliyekuwa offside ni nani sasa, Musonda au Aziz Ki?Kama is ingekuwa OFFSIDE. utopolo wangepiga KONA maana aliytoa ni mchezaji wa mamelodi kwa kichwa.AKILI UNAZO ZITUMIE.
Mnatupa shida sana kuwaelewesha.ndo maana manara alisema wenye akili ni wawili tu pale utopoloni. Na bado mnazidi kuonesha ni jinsi gani mlivyo. DEBE TUPU KICHWANI.Kwani Miaka miwili bingwa nani ?Jitahidi msimu huu Azam anakupumulia ukichemka shirikisho lina kuhusu.
Huyo mpira atakuwa katizama kwenye kiswaswadu.Kaamua kubisha yao ya Misri wameyakalia kimya hawataki kuyazungumzia, jana Ahmed interview nzima anaongea matokeo ya Yanga,utazani labda Misri walienda kutikisa makalio.Kwahiyo wewe mjinga aliyekuwa offside ni nani sasa, Musonda au Aziz Ki?
Ila we mjinga shingo yako ngumu sana asee, yaani mpaka sasa haijachoka kuubeba huo mzigo, hakika inahitaji pongezi.Sawa.endelea kukaza FUVU.endeleeni kupiga kelele mtarudishiwa goli lenu.roma alisema kichwa kisichokuwa na akili ni mzigo kwa shingo.
😂🤣😂Asante kwa kutuonesha akaunti yake...🤬🤬
Swali zuri.mchezaji wa mwisho kabla ya kipa alivaa jezi ya rangi gani kama sio kijani?Kwahiyo wewe mjinga aliyekuwa offside ni nani sasa, Musonda au Aziz Ki?
Wewe jiandae kushiriki shirikisho mwakani. Yenu hamuya zungumzii, mmejificha kwenye matokeo ya Yanga kujipa ahueni. Jana msemaji wenu Ahmed Airport interview nzima anaongea matokeo ya Yanga,utazani labda Misri mlienda kutikisa makalio.Mnatupa shida sana kuwaelewesha.ndo maana manara alisema wenye akili ni wawili tu pale utopoloni. Na bado mnazidi kuonesha ni jinsi gani mlivyo. DEBE TUPU KICHWANI.
Waliokuwepo uwanjani wameona sio goli ila wewe wa buza huko umeona goli.maajabu haya.Ila we mjinga shingo yako ngumu sana asee, yaani mpaka sasa haijachoka kuubeba huo mzigo, hakika inahitaji pongezi.
Asee ni ngumu zana kujenga hoja za kumuelewesha MPUMBAVU mwenye confidence kwenye upumbavu wake.Ngoja nikukumbushe.kabla ya simba kuanza kuingia makundi.zilikuwa zinaenda timu ngapi za tanzania club bingwa africa na kombe la shirikisho?mnatusumbua BURE HUMU SABABU HAMJUI MPIRAmnatuumiza vichwa tu humu na upumbavu wenu
😁😁😁.tatizo lenu mwaka robo JR mna mdomo sana.haya hayajatokea kwa bahati mbaya.yametokea ili yawafundishe kuwa USIMTUKANE MAMBA WAKATI HAUJAVUKA MTO.bora simba yeye kafungwa zake katulia. Ila nyie mmefungwa na goli limekataliwa TENA GOLI LA USHINDI🤣🤣🤣🤣mtateseka sanaWewe jiandae kushiriki shirikisho mwakani. Yenu hamuya zungumzii, mmejificha kwenye matokeo ya Yanga kujipa ahueni. Jana msemaji wenu Ahmed Airport interview nzima anaongea matokeo ya Yanga,utazani labda Misri walienda kutikisa makalio.
Nina maswali mawili ya kukuuliza:Swali zuri.mchezaji wa mwisho kabla ya kipa alivaa jezi ya rangi gani kama sio kijani?
Alafu kama mchezaji wa mamelodi ndo aliytoa mpira kwa kichwa ilitakiwa ipigwe kona au goli Kiki?
Mbona kona hamdai mnadai goli tu?
OK.tumeambiwa tusichoke kuelimishana.kabla ya simba kuingia makundi na kupata points.ilikuwa tanzania inapeleka timu 2 kule caf.mshindi wa kwanza alikuwa anaenda club bingwa na mshindi wa pili alikuwa anaenda shirikisho. Baada ya simba kufanya vizuri.tukaongezewa timu mbili tukawa tunapeleka timu 4.ambazo timu 2 shirikisho na timu 2 club bingwa. Haya karibu ndugu utopolo kwa mjadala.usipanik lakini goli haliwezi kukubaliwa hata yesu akirudiAsee ni ngumu zana kujenga hoja za kumuelewesha MPUMBAVU mwenye confidence kwenye upumbavu wake.
Ndio maana kuna mzungu alisema "It is difficult to win an arguement with an intelligent person but it is nearly impossible to win an arguement with a fool".Asee ni ngumu zana kujenga hoja za kumuelewesha MPUMBAVU mwenye confidence kwenye upumbavu wake.
Acha hizo kijana, kwenye mpira mataifa mengine hadi mchezaji wa 12 anaingia uwanjani kudai lolote hasa za afrika kaskazini huko, leo watanzania wanapiga kwenye mshono unaona si sawa how!!mihemko wabongo tunamihemko ya kijingajinga tu.