Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Na bado SIO GOLI.ila wanataka wapewe.aibu gani hii kwa nchi.haya yote kayataka simba kuwabeba na kuwapeleka hyko
Umembeba nani? Wakati Yanga kaenda sababu ya ubingwa.

Yenu mmeyasahau mmejificha kwenye matokeo ya Yanga,mpaka msemaji wenu jana uwanja wa ndege anaongelea mechi Yanga.

Kwenye history ya mpira wa bongo wewe ndiye ulibebwa na Yanga husishuke daraja na shukuruni wazee wazamani walikuwa na busara ila ingekuwa kizazi hiki ungeshuka daraja.
 
Matako wewe hakukua na offside,mpira ulitolewa nje mchezaji akauleta ndani na refa kwa kukataa goli akampa kipa aanzishe.
🤣🤣🤣aibu naona mimi.mkiambiwa pale utopoloni wenye akili wawili tu muwe mnaelewa.
 
Umembeba nani? Wakati Yanga kaenda sababu ya ubingwa.

Yenu mmeyasahau mmejificha kwenye matokeo ya Yanga,mpaka msemaji wenu jana uwanja wa ndege anaongelea mechi Yanga.

Kwenye history ya mpira wa bongo wewe ndiye ulibebwa na Yanga husishuke daraja na shukuruni wazee wazamani walikuwa na busara ila ingekuwa kizazi hiki ungeshuka daraja.
Ngoja nikukumbushe.kabla ya simba kuanza kuingia makundi.zilikuwa zinaenda timu ngapi za tanzania club bingwa africa na kombe la shirikisho?mnatusumbua BURE HUMU SABABU HAMJUI MPIRAmnatuumiza vichwa tu humu na upumbavu wenu
 
Kwani Miaka miwili bingwa nani ?Jitahidi msimu huu Azam anakupumulia ukichemka shirikisho lina kuhusu.
 
Mnatupa shida sana kuwaelewesha.ndo maana manara alisema wenye akili ni wawili tu pale utopoloni. Na bado mnazidi kuonesha ni jinsi gani mlivyo. DEBE TUPU KICHWANI.
 
Sawa.endelea kukaza FUVU.endeleeni kupiga kelele mtarudishiwa goli lenu.roma alisema kichwa kisichokuwa na akili ni mzigo kwa shingo.
Ila we mjinga shingo yako ngumu sana asee, yaani mpaka sasa haijachoka kuubeba huo mzigo, hakika inahitaji pongezi.
 
Kwahiyo wewe mjinga aliyekuwa offside ni nani sasa, Musonda au Aziz Ki?
Swali zuri.mchezaji wa mwisho kabla ya kipa alivaa jezi ya rangi gani kama sio kijani?
Alafu kama mchezaji wa mamelodi ndo aliytoa mpira kwa kichwa ilitakiwa ipigwe kona au goli Kiki?
Mbona kona hamdai mnadai goli tu?
 
Mnatupa shida sana kuwaelewesha.ndo maana manara alisema wenye akili ni wawili tu pale utopoloni. Na bado mnazidi kuonesha ni jinsi gani mlivyo. DEBE TUPU KICHWANI.
Wewe jiandae kushiriki shirikisho mwakani. Yenu hamuya zungumzii, mmejificha kwenye matokeo ya Yanga kujipa ahueni. Jana msemaji wenu Ahmed Airport interview nzima anaongea matokeo ya Yanga,utazani labda Misri mlienda kutikisa makalio.
 
Ngoja nikukumbushe.kabla ya simba kuanza kuingia makundi.zilikuwa zinaenda timu ngapi za tanzania club bingwa africa na kombe la shirikisho?mnatusumbua BURE HUMU SABABU HAMJUI MPIRAmnatuumiza vichwa tu humu na upumbavu wenu
Asee ni ngumu zana kujenga hoja za kumuelewesha MPUMBAVU mwenye confidence kwenye upumbavu wake.
 
Wewe jiandae kushiriki shirikisho mwakani. Yenu hamuya zungumzii, mmejificha kwenye matokeo ya Yanga kujipa ahueni. Jana msemaji wenu Ahmed Airport interview nzima anaongea matokeo ya Yanga,utazani labda Misri walienda kutikisa makalio.
😁😁😁.tatizo lenu mwaka robo JR mna mdomo sana.haya hayajatokea kwa bahati mbaya.yametokea ili yawafundishe kuwa USIMTUKANE MAMBA WAKATI HAUJAVUKA MTO.bora simba yeye kafungwa zake katulia. Ila nyie mmefungwa na goli limekataliwa TENA GOLI LA USHINDI🤣🤣🤣🤣mtateseka sana
 
Swali zuri.mchezaji wa mwisho kabla ya kipa alivaa jezi ya rangi gani kama sio kijani?
Alafu kama mchezaji wa mamelodi ndo aliytoa mpira kwa kichwa ilitakiwa ipigwe kona au goli Kiki?
Mbona kona hamdai mnadai goli tu?
Nina maswali mawili ya kukuuliza:
1)Kama ilikua ni offside kwa nini refa aliwasiliana na VAR kujadili uhalali wa goli?
2)Unajua offside hutokeaje??
 
Asee ni ngumu zana kujenga hoja za kumuelewesha MPUMBAVU mwenye confidence kwenye upumbavu wake.
OK.tumeambiwa tusichoke kuelimishana.kabla ya simba kuingia makundi na kupata points.ilikuwa tanzania inapeleka timu 2 kule caf.mshindi wa kwanza alikuwa anaenda club bingwa na mshindi wa pili alikuwa anaenda shirikisho. Baada ya simba kufanya vizuri.tukaongezewa timu mbili tukawa tunapeleka timu 4.ambazo timu 2 shirikisho na timu 2 club bingwa. Haya karibu ndugu utopolo kwa mjadala.usipanik lakini goli haliwezi kukubaliwa hata yesu akirudi
 
Back
Top Bottom