Wanaitwa FCC, wameanzishwa na Fair Competition Act, No.8 ya mwaka 2003 (FCA). Wao hawaweki kikwazo kama umefata sheria maana kazi yao ni regulation. Mo hafati taratibu ndo maana waliwekwa kikwazo. Muwekezaji huwezi ukawa mmoja kwa sheria ya nchi yetu. Simba wafata utaratibu.Mwana FA anamjua anayekwamisha huo mchakato kukamilika?
Kuna wale viumbe wanaitwa UCC kama sijakosea hao ndio chanzo cha yote, wamekuwa wakiweka vikwazo kila mara Mo anapotaka kukamilisha mchakato.
Kwa hili Mo asilaumiwe.
Ndiyo maana amesema anaidai Simba na ametaja hadi kiwango, ni vile wengi hamjamuelewa tu ni kama vile amesema mumlipe hela yake awaachieni timu.Kama hataki kufuata utaratibu basi aachane na huo mpango wa kuimiliki simba.
acha uongo kijana kanuni ziko wazi kuwa mwekezaji ni lazima awe na hisa 49, hii ya wadhamini kuanzia watatu HAIPO ni kauli za midomoni za kina Mwakyembe ndio maana FCC walimpa gharama MO za hisa 49 kuwa ni 19.6B, lakini MO akafunika 20B, yaani unampa mtu mpaka HATI ya kukamilisha mabadiliko badae unaongeza vitu ambavyo HAVIKUWEPO , serikali ndio wahuni namba 1 , kisha ndio waje wengineKanuni zinataka ivyo mkuu
Ni Mo mwenyewe ndie alikuja na ilo pendekezo la 51%/49%
Kigezo cha kuwepo shareholders watatu ni takwa la kisheria na Mo alitaarifa tangu mwanzo alivyo-submit katiba ya mabadiliko nakumbuka hata bakhresa alikua tayari kununua sehemu ya hisa kati izo 49%. Kama Mo alitoa pesa wakati mchakato wa mabadiliko haujakamilika hayo sasa ni makosa ya Mo mwenyewe, kwanini uwekeze pesa zako kwenye mali ambayo bado haujakamilisha taratibu za kuimiliki?
Mwana FA hajui kuwa FCC ndio walitoa HATI ya kukamilisha mchakato ndio maana MO akaweka zile 20B, na pakuweka walimuelekeza wao serikali na gawio wanakula Simba 200M kila mweziNgoja uone mbumbumbu wakianza kumpopoa mawe mwana FA, wamekuwa wakali sana siku hizi
Wewe muongo, FCC hawajawahi kutoa permit ya kuruhusu mchakato uendelee. In Fact, Mzigo umekwama mezani kwa FCC na ndo maana hela haijawekwa. Mtu mzima kama wewe kuwa muongo haipendeziMwana FA hajui kuwa FCC ndio walitoa HATI ya kukamilisha mchakato ndio maana MO akaweka zile 20B, na pakuweka walimuelekeza wao serikali na gawio wanakula Simba 200M kila mwezi
kanuni zinataka 49 kwa mwekezaji kwenye hizi timu za wanachama, mambo ya wawe watatu ni kauli za midomoni, ndio maana hukuzisikia wakati wote wa mchakato mwanzoniWatu wengi hawana uelewa wa masuala ya finance katika hili sakata wanafikiri sheria na kanuni za uwekezaji zimepachikwa kumkomoa Mo kumbe izo ni kanuni ambazo zinatumika kwa kila mtu.
Hakuna kitu kama hicho mzee baba. Thamani ya simba haipo documented sasa izo 49% alizopewa Mo na FCC zilikua calculated vipi. utapataje 49% ikiwa 100% haijulikani?. Kwanza hao FCC hawajawahi kutoa hati ya kukamilisha mabadiliko. Bila shaka hapo kati uyo Mo alitaka kufanya janja janja hili suala hata Kigwangala alihoji bahati mbaya sana wanasimba walikua wamezama kwenye mahaba mazito wakaishia kumshambulia tuacha uongo kijana kanuni ziko wazi kuwa mwekezaji ni lazima awe na hisa 49, hii ya wadhamini kuanzia watatu HAIPO ni kauli za midomoni za kina Mwakyembe ndio maana FCC walimpa gharama MO za hisa 49 kuwa ni 19.6B, lakini MO akafunika 20B, yaani unampa mtu mpaka HATI ya kukamilisha mabadiliko badae unaongeza vitu ambavyo HAVIKUWEPO , serikali ndio wahuni namba 1 , kisha ndio waje wengine
Ina maana wakati MO anatoa 20B hundi hujui kuwa FCC walikuwa mashuhuda?Wewe muongo, FCC hawajawahi kutoa permit ya kuruhusu mchakato uendelee. In Fact, Mzigo umekwama mezani kwa FCC na ndo maana hela haijawekwa. Mtu mzima kama wewe kuwa muongo haipendezi
mzee watu walishafanya kila kitu kuhusu mali za Simba na thamani zake, ndio maana siku 20B zinawekwa FCC walikuwepoHakuna kitu kama hicho mzee baba. Thamani ya simba haipo documented sasa izo 49% alizopewa Mo na FCC zilikua calculated vipi. utapataje 49% ikiwa 100% haijulikani?. Bila shaka hapo kati uyo Mo alitaka kufanya janja janja hili suala hata Kigwangala alihoji bahati mbaya sana wanasimba walikua wamezama kwenye mahaba mazito wakaishia kumshambulia tu
Wewe acha uongo.acha uongo kijana kanuni ziko wazi kuwa mwekezaji ni lazima awe na hisa 49, hii ya wadhamini kuanzia watatu HAIPO ni kauli za midomoni za kina Mwakyembe ndio maana FCC walimpa gharama MO za hisa 49 kuwa ni 19.6B, lakini MO akafunika 20B, yaani unampa mtu mpaka HATI ya kukamilisha mabadiliko badae unaongeza vitu ambavyo HAVIKUWEPO , serikali ndio wahuni namba 1 , kisha ndio waje wengine
Azam ina wawekezaji wangapi? Au Azam sio timu iliyopo Tanzania?Iyo haikua sharti la serikali bali ni taratibu za uwekezaji ndizo zinataka ivyo yaani hata ingekua yanga, azam, singada n.k nao pia wangetakiwa kufanya ivyo
We Jinga mbona huelewi,Bil 20 haijawahi kuwekwa na mo dewji,lile bango ilikuwa ni utapelimzee watu walishafanya kila kitu kuhusu mali za Simba na thamani zake, ndio maana siku 20B zinawekwa FCC walikuwepo
ili niwe muongo, nionyeshe hiyo kanuni kuwa wawekezaji lazima wawe watatu, mimi nakwambia serikali ndio ilimletea ugumu MO kupitia maneno ya midomoni ya Mwakyembe sio kanuniWewe acha uongo.
mzee kila mwezi Simba wanakula gawio la 200M kutoka kwenye ile 20B ebu tuambie kwanini ? inakuwaje bango la utapeli likupeke 200M na upokeeWe Jinga mbona huelewi,Bil 20 haijawahi kuwekwa na mo dewji,lile bango ilikuwa ni utapeli
Ni uhuni hakuna kanuni yeyote iliokuwa inazungumzia wawekezaji wawe watatu, wamechomekea mbele ili kukwamisha watu na kuendelea kupiga propaganda kwenye vilabu hiviAzam ina wawekezaji wangapi? Au Azam sio timu iliyopo Tanzania?
Hii ishu inaihusu Simba na Yanga na serikali ina mikono yake moja kwa moja kwavile ni timu za wanachama. Kabla ya Simba kuingia kwenye huu mchakato, wala hakukuwa na kanuni, muongozo wala kanuni yeyote ile serikali ikiwaongoza ni nini cha kufanya. Ila baada ya kuingia kwa mchakato ndio serikali kupitia BMT na FCC wakaanza kuweka pingamizi kwenye baadhi ya vitu ikiwemo idadi ya wawekezaji.
Azam inamilikiwa na bakhresa group simba inamilikiwa na wanachama ni timu ambazo zinatofauti katika mifumo yao ya uendeshajiAzam ina wawekezaji wangapi? Au Azam sio timu iliyopo Tanzania?
Mkuu acha kuongea mambo kwa hisia simba ina katiba yake TFF ina taratibu zake sasa kivipi useme hapakua na kanuni wala miongozo au unataka kusema kwamba kanuni zilikuwepo lakini kabla Mo ajaja na suala la kuimiliki simba izo kanuni hazikua zinazingatiwa? Kama hapo awali kanuni hazikuzingatiwa je tuendelee kufanya mambo kienyeji au tukate huo mnyororo na turudi kwenye mstari?Kabla ya Simba kuingia kwenye huu mchakato, wala hakukuwa na kanuni, muongozo wala kanuni yeyote ile serikali ikiwaongoza ni nini cha kufanya. Ila baada ya kuingia kwa mchakato ndio serikali kupitia BMT na FCC wakaanza kuweka pingamizi kwenye baadhi ya vitu ikiwemo idadi ya wawekezaji.
Timu ilikuwa inajiendeshaje? Kuna tatizo ni kama vile kuna utapeli unataka kufanyika. Embu tuambie maana umeandika kwa kujiamini, tumjue tapeli ni nani. Timu ilikuwa inaendeshwa kwa fedha zipi?We Jinga mbona huelewi,Bil 20 haijawahi kuwekwa na mo dewji,lile bango ilikuwa ni utapeli
Sio kweli, Yanga wameanza mchakato ila bado tu kukamilika.Huyo Waziri hayuko well informed kwani hata Yanga huo mchakato haujaanza kabisa kinachowabeba ni mafanikio ya kubeba ubingwa mfulululizo miaka mitatu,ikitokea wakaanza kupoteza hayo makombe na Simba wakajipata nako kutanuka tu. It's just a matter of time