Mwana FA ni Jay Z wa Tanzania

Mwana FA ni Jay Z wa Tanzania

Hela si matako kwamba kila mtu anazo
Yaani hii aina ya mistari ndio punch line kwenye nyimbo!!!!??? Tuna safari ndefu kwenye mziki kama ndio hivi,kwa utunzi wa mwana fa sishangai akawa msanii wa hapa hapa aendelee kutushika ma layman hawezi kutoboa hata kenya tu hapo kwa kaligraph jones.kwa hiyo mistari angekuwa ametunga underground huo wimbo ungewekwa kapuni maana mistari ya kitoto sana eti “hela sio matako” sasa nani asiyejua huo msemo!!!? Mnazijua punch line nyinyi
 
Aise kumfananisha Jay Z na uyo mgosi wa Tanga ni kumkosea heshima uyu mwamba wa New York. FA ana heshima yake ila haijafika hata theluthi ya Jay Z. Apa tuache zile mambo za kupenda vyetu sijui nini..
 
Back
Top Bottom