mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,040
- 2,428
Yaani hii aina ya mistari ndio punch line kwenye nyimbo!!!!??? Tuna safari ndefu kwenye mziki kama ndio hivi,kwa utunzi wa mwana fa sishangai akawa msanii wa hapa hapa aendelee kutushika ma layman hawezi kutoboa hata kenya tu hapo kwa kaligraph jones.kwa hiyo mistari angekuwa ametunga underground huo wimbo ungewekwa kapuni maana mistari ya kitoto sana eti “hela sio matako” sasa nani asiyejua huo msemo!!!? Mnazijua punch line nyinyiHela si matako kwamba kila mtu anazo