DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
| School Name/Location | Course/Degree/Award | From | To | Level |
|---|---|---|---|---|
| Coventry University | Masters of Science in Finance | 2009 | 2010 | Masters Degree |
| Institute of Finance Management (IFM). | Diploma in Insurance | 2004 | 2007 | Diploma |
| Institute of Finance Management (IFM). | Certificate in Infromation Tehnoloy | 2003 | 2004 | Certificate |
Baraza la mapinduzi ndo lipi hilo na lilimpindua nani?Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la 👉 MAPINDUZI.
soma vizuri mkuuBaraza la mapinduzi ndo lipi hilo na lilimpindua nani?
wivu gani tena mkuu, au kumsifia mtu ni wivuWivu
Siku sio nyingYule mzungu aje amvishe Phd, it cost only $2500.
watoto ni BarakaWatoto bwana!
Masters nayo ni degree. Nafikiri umemaanisha Masters bila degree ya undergraduate.Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Amejitahidi kuunga unga mpaka ametoboa. Enzi hizo wanapigana vijembe na akina Lady Jaydee kwenye wimbo wa wanaume kama mabinti, hata usingeweza kumdhania kama angefika hapo alipo.Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Labda kwa wasio mfahamu ..kifupi FA ni kichwa smart sana tu...labda watafte jingineAmejitahidi kuunga unga mpaka ametoboa. Enzi hizo wanapigana vijembe na akina Lady Jaydee kwenye wimbo wa wanaume kama mabinti, hata usingeweza kumdhania kama angefika hapo alipo.
kwani tumesema kwamba hana uwezo? nimesema ni historia ya aina yakeMasters nayo ni degree. Nafikiri umemaanisha Masters bila degree ya undergraduate.
Nyerere kasoma Masters "bila degree". Kawa Waziri Mkuu ana Masters "bila degree".
Soma historia.
Zaidi, tuambizane zaidi kuhusu ufanisi wa mtu kuliko makaratasi yake.
hakuna mwenye shaka na uwezo wake Mkuu.Labda kwa wasio mfahamu ..kifupi FA ni kichwa smart sana tu...labda watafte jingine
kabisa ni mpambanaji wa aina yake tangu akiwa dalali wa MagariAmejitahidi kuunga unga mpaka ametoboa. Enzi hizo wanapigana vijembe na akina Lady Jaydee kwenye wimbo wa wanaume kama mabinti, hata usingeweza kumdhania kama angefika hapo alipo.
Hata hiyo historia ya aina yake si ya aina yake hivyo.kwani tumesema kwamba hana uwezo? nimesema ni historia ya aina yake
K.I.S.O.K.O.L.O.K.W.I N.Y.Okabisa ni mpambanaji wa aina yake tangu akiwa dalali wa Magari
kabla ya uhuru elimu hata wa Darasa la nne ama middle skuli walikuwa viongozi wakubwa tu. nimesema katika baraza hili la mawaziri la sasaHata hiyo historia ya aina yake si ya aina yake hivyo.
Nyerere alitoka Makerere na Diploma, akaenda Edinburgh akatoka na Masters, hivyo hivyo.
Kwa hivyo ni vitu vilivyofanyika miaka mingi tu, hata kabla ya uhuru.