Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri

Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?

hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
Coventry UniversityMasters of Science in Finance20092010Masters Degree
Institute of Finance Management (IFM).Diploma in Insurance20042007Diploma
Institute of Finance Management (IFM).Certificate in Infromation Tehnoloy20032004Certificate
Hana degree halafu ana masters, masters ni nini!?..hao waliompa masters hawajui utaratibu wa kutoa masters!?
 
Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri

Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?

hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
Coventry UniversityMasters of Science in Finance20092010Masters Degree
Institute of Finance Management (IFM).Diploma in Insurance20042007Diploma
Institute of Finance Management (IFM).Certificate in Infromation Tehnoloy20032004Certificate
Kuna makosa ya kiuandishi hapo yanapaswa kuhaririwa hiyo ilikuwa ni advance diploma!
Hata hivyo kama hoja na hitaji ni degree basi hata Masters ni degree!
 
Hata hiyo historia ya aina yake si ya aina yake hivyo.

Nyerere alitoka Makerere na Diploma, akaenda Edinburgh akatoka na Masters, hivyo hivyo.

Kwa hivyo ni vitu vilivyofanyika miaka mingi tu, hata kabla ya uhuru.
Ila babu ali-supp Edinburg,nasikia alipenda Sana kucheza tennis
 
Masters nayo ni degree. Nafikiri umemaanisha Masters bila degree ya undergraduate.

Nyerere kasoma Masters "bila degree". Kawa Waziri Mkuu ana Masters "bila degree".

Soma historia.

Zaidi, tuambizane zaidi kuhusu ufanisi wa mtu kuliko makaratasi yake.
Wabongo wanathamini makaratasi

Ova
 
Ni ufahamu
Screenshot_20230228-172245.png
Kumbe hana tofauti na bwana mnyika aliyekimbia mwaka wa pili
 
FA ni smart Sana. Na suala la kuwa na Masters kabla ya undergraduate degree ni kawaida Sana maana ata nyerere nae alikua Ivo...
 
Back
Top Bottom