Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Namanisha kasoma advanced diploma siyo diploma ndiyo maana unaona kasoma miaka 3(2004-2007) ni typing error za pale bungeni
Diploma si unaanza certificate mwaka mmoja kisha unasoma miaka miwili Dipolma afu degree ya kwanza miaka mitatu au sio hivyo? au siku hizi imebadilika maana mm nimesoma zamani kidogo
 
Masters nayo ni degree. Nafikiri umemaanisha Masters bila degree ya undergraduate.

Nyerere kasoma Masters "bila degree". Kawa Waziri Mkuu ana Masters "bila degree".

Soma historia.

Zaidi, tuambizane zaidi kuhusu ufanisi wa mtu kuliko makaratasi yake.
Naiiunga mkono ilo
 
Elimu ya vyuo vya nje huwa havina complication, vina utaratibu wa kuvusha watu darasa kutokana na uwezo fulani wa muhusika; unaweza kuta kijana wa miaka 23 ana Phd.
 
Advanced Diploma=Bachelor Degree.

Vyuo vingi Tz aliyemaliza Advanced Diploma anaruhusiwa kujoin Masters course.

MwanaFA anazo AKILI, ameongezea ELIMU, ANATOSHA.

Nafurahi jinsi Serikali inavyowaamini viongozi vijana.

Wapewe semina tu za uongozi, Maana Juzi nimemuona yule KATAMBI Cheka tu.

Kiongozi lazima ajiheshimu.
 
Ni Africa pekee elimu tunaifanya kuwa ngumu ilihal haijatusaidia kwa lolote la maana

Hao waliopita undergruate had PhD wamelifanyi nn taifa

China Japan south Korea wao wanaangalia uwezo wa mtu katka fani fulan leo hii wameleta mapinduz mazito katika teknolojia kwa taifa lao

Sisi tumekalia vyeti vyeti ilihali hata kijiti chakuchokonolea taka katka meno kinatoka nje ya nchi
 
Ebu waacheni na watoto wa maskini na wenyewe waonje asali.

Balozi Rajabu Adadi mpaka muda huu mama ajamkumbuka bado, sidhani kama FA atatoboa 2025 jamaa akitia kambi.

Jimbo lenyewe kalipata baada ya Adadi kukatwa na Magufuli sioni akimshinda 2025.

Mie ushauri wangu kwa FA ni kuacha kujiona gangster kitaa kipo kimya, kwa sababu una maadui powerful zaidi serikalini and we don’t bring down underdogs.
Hivi sasa ana CV, aweza hata kugombea Jimbo hapa mjini na akashinda.
 
Ni Africa pekee elimu tunaifanya kuwa ngumu ilihal haijatusaidia kwa lolote la maana

Hao waliopita undergruate had PhD wamelifanyi nn taifa

China Japan south Korea wao wanaangalia uwezo wa mtu katka fani fulan leo hii wameleta mapinduz mazito katika teknolojia kwa taifa lao

Sisi tumekalia vyeti vyeti ilihali hata kijiti chakuchonolea taka katka meno kinatok nje ya nchi
Mkuu tafaadhali,kwenye meno hakuta taka,Bali chakula ambacho halijamezwa
 
Ebu waacheni na watoto wa maskini na wenyewe waonje asali.

Balozi Rajabu Adadi mpaka muda huu mama ajamkumbuka bado, sidhani kama FA atatoboa 2025 jamaa akitia kambi.

Jimbo lenyewe kalipata baada ya Adadi kukatwa na Magufuli sioni akimshinda 2025.

Mie ushauri wangu kwa FA ni kuacha kujiona gangster kitaa kipo kimya, kwa sababu una maadui powerful zaidi serikalini and we don’t bring down underdogs.
Bt FAA Si mtoto wa maskini pekee, ni kitengo.
 
Back
Top Bottom