Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

FA awe mfano wa kupigiwa mfano kwa vijana wengine sio lazima uwe na refa au a stellar background kukaa meza Moja na wakuu.
 
Kabisa lol mie uchawa nimeushindwa nipatacho nasema hewala ndo majaaliwa yangu [emoji120]
Wakati mwingine lazima usijisogeze kwa wakubwa
Utambebea begi,wakati wa kukaa unamsogezea kiti,mpaka mlango wa gari unamfungulia kumbe we unamlia timing
Wengine mpaka madem walikuwa wanawatafutia mzee

Ova
 
kwani tumesema kwamba hana uwezo? nimesema ni historia ya aina yake
Labda hujui Bwana dalali. Mwana FA alisoma Advanced Diploma pale IFM ambayo ni equivalent to a degree. Nakumbuka tulikuwa tunabanana nae kwenye mikopo ya HESLB pale TIRDO mwaka 2005 bodi tu ilipoanzishwa. Na ukumbuke Loan Board walikuwa wanatoa kuanzia graduate level pekee. Huenda editor wa hiyo tovuti kakosea.
 
Tena diploma ya Nyerere pale makerere ili major somo la kiswahili na biology ila masters kasoma History ni maajabu tu. Just keep off.
Nyerere kasoma ancient university, bado kidogo tu asome na dinosaurs hatuwezi kuelewa degree ya kwanza inaitwa Masters!

Halafu na yeye alikuwa anawavunga watu kwamba ana masters kama degree ya pili.
 
My name is Dr...

No son, your name is not Dr. Dr is your professional title or your academic accreditation.

Did your parents name you "Doctor"?
Ushawahi ona Obama kwenye TV jina lake linaqnzia na prof/dr [emoji1]
Ila wenzangu na mie sasa ????
Wanapenda sana title

Ova
 
Na wizara aliyewekwa panamfaa
A deal na wasanii wake

Ova
I agree anahitajika mtu ambae wasanii wanaelewana nae lugha na mwenye ufahamu mpana wa changamoto zao.

Halafu anaonekana ni easily accessible so wasanii watakuwa comfortable kuongea nae ishu zao kwakuwa wanamuona mwenzao.

Better still ni shabiki mzuri wa michezo so anatosha kabisa.
 
Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri

Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?

hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
Coventry UniversityMasters of Science in Finance20092010Masters Degree
Institute of Finance Management (IFM).Diploma in Insurance20042007Diploma
Institute of Finance Management (IFM).Certificate in Infromation Tehnoloy20032004Certificate
Kwani Master's siyo degree
 
Ila wajuwe sanaa siyo bongo fleva na bongo movie
Maana hao wawili wanajiona kama wao ndiyo wenye haki ya kusikilizwa
Nchi hii kuna vikundi vya ngoma asili kama tatu nane ,wanne stars nk wamefanya mmbo makubwa kufanya matamsha nje na kutangaza nchi
Ila mwisho wa siku wizara imemfaa FA apige kazi

Ova
 
Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri

Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?

hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
Coventry UniversityMasters of Science in Finance20092010Masters Degree
Institute of Finance Management (IFM).Diploma in Insurance20042007Diploma
Institute of Finance Management (IFM).Certificate in Infromation Tehnoloy20032004Certificate
vyuo vya nje sio lazima uwe na undergraduate degree kusoma masters, kaangalie entry requirements za waTanzania katika chuo hicho utaona moja ya kigezo ni diploma tu na mtihani wa kiingereza (IELTS).... Finance MSc (2023/24)
 
Back
Top Bottom