Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sasa huyu anayesema elimu huko kwenye baraza la mawaziri, anasema ya nini wakati hakuna tofauti yoyote?Kwani nani alikwambia darasa la saba hana akili na hawezi kuchangia mawazo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyu anayesema elimu huko kwenye baraza la mawaziri, anasema ya nini wakati hakuna tofauti yoyote?Kwani nani alikwambia darasa la saba hana akili na hawezi kuchangia mawazo?
Uzuri wa jamaa ana exposure, sio limbukeni na kwa kiasi fulani ana general knowledge kubwa ukimsikiliza.Ila wajuwe sanaa siyo bongo fleva na bongo movie
Maana hao wawili wanajiona kama wao ndiyo wenye haki ya kusikilizwa
Nchi hii kuna vikundi vya ngoma asili kama tatu nane ,wanne stars nk wamefanya mmbo makubwa kufanya matamsha nje na kutangaza nchi
Ila mwisho wa siku wizara imemfaa FA apige kazi
Ova
Tunazungumzia kuchangia mawazo. Tafauti ni kwamba siku nyingine kama Waziri unatakiwa kuhudhuria mikutano ya kimataifa au hata kusoma tu hotuba uliyoandikiwa na wataalamu kwa niaba ya Taifa. Unatakiwa uelewa wa kiwango fulani hivi.Sasa huyu anayesema elimu huko kwenye baraza la mawaziri, anasema ya nini wakati hakuna tofauti yoyote?
Ahh okUzuri wa jamaa ana exposure, sio limbukeni na kwa kiasi fulani ana general knowledge kubwa ukimsikiliza.
Nina imani ataitendea haki nafasi aliyoaminiwa nayo.
Tunazungumzia kuchangia mawazo. Tafauti ni kwamba siku nyingine kama Waziri unatakiwa kuhudhuria mikutano ya kimataifa au hata kusoma tu hotuba uliyoandikiwa na wataalamu kwa niaba ya Taifa. Unatakiwa uelewa wa kiwango fulani hivi.
Wamekosa uelewa au walikuwa wanafanya yao nyuma ya pazia?Mmhhh, hata hao wenye hizo elimu si ndio hawa wanaoingia hii mikataba ya kihuni kwa kukosa uelewa?
Wamekosa uelewa au walikuwa wanafanya yao nyuma ya pazia?
Mfano yule mjamaa 'nyoka makengeza' aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu na kuidhinisha mikataba mingi ya kimataifa, unadhani alikosa uelewa?
Kasoma Tumaini University pekee ndiyo hiyo shahada.Shigongo kasoma vyuo gani?
Kwani nyerere amewahi kuwa waziri ?? Wa JMT .Kwa level ya uwaziri hii ni historia .Hata hiyo historia ya aina yake si ya aina yake hivyo.
Nyerere alitoka Makerere na Diploma, akaenda Edinburgh akatoka na Masters, hivyo hivyo.
Kwa hivyo ni vitu vilivyofanyika miaka mingi tu, hata kabla ya uhuru.
Duh.. 😳😳🤣🤣🙄😳😳😳🤣🤣Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Jenista Mhagama waziri wa nchi ofisi ya Rais Utumishi...Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Una uhakika hana Refa? huyu si alibebebwa na magufuli tu wakamkata balozi wakampa yeye nafasi japo alikataliwa na wajumbe kwenye kura za maoni?FA awe mfano wa kupigiwa mfano kwa vijana wengine sio lazima uwe na refa au a stellar background kukaa meza Moja na wakuu.
Mliobaki degree zenu kafungieni maandaziMwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Babu tale anachangia nn?😅Kwani nani alikwambia darasa la saba hana akili na hawezi kuchangia mawazo?
Una uhakika hana Refa? huyu si alibebebwa na magufuli tu wakamkata balozi wakampa yeye nafasi japo alikataliwa na wajumbe kwenye kura za maoni?