TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Embu nitajie mtu hata mmoja aliyewahi kusaidiwa na Manengelo.
Mimi hapa amewahi kunisaidia, si mara moja amenitumia hela ya kula na kuna wakati niliwahi kumuomba anikopeshe kiasi fulani cha pesa alinikopesha bila hiyana licha ya kwamba hatujawahi hata kuonana, yaani aliniamini tu kama member mwenzie...wangapi wanaweza kufanya hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada nakuomba tu uyaache
Mm naumia kweli kuona yanayoendelea ili hali ulifanya nafasi yako na wanaokusema wala hawajashiriki chochote kile
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante dada kuniokoa manake nilikuwa naelekea kusutwa mie.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Elli hana shida, ila kuambatana na Manengelo ndo kuna mchafua , hanaga maneno mengi huyo .
Kijana ebu acha kuwapotosha watu humu. Ebu usilazimishe kufanya kusaidiwa iwe wajibu, and niliwahi kusema hapa mara kadhaa kwamba "unapenda sana kulalamika" na kulazimisha usaidiwe kili ambacho wewe ndie unataka, yaani anae kusaidia afuate vile unataka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Unakosea sana!...narudia tena mkinga ww unakosea.. Ya nn kuweka hapa?...ili imponye nan?...segito wewe
 


Kuna siku nilikusema sana kama unakumbika ila nimeelewa mimi leo hii! Sitakupinga tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…