T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Wewe hapa kuna la maana umeongea?Kumbe baada ya miezi miwili ukaizima na huyo mdogo wake kaiacha kwa mwezi mmoja sasa landa ikifika wa pili ataizima kama wewe ulivyoizima ya babu yako,
Mnaacha kuongelea mambo ya maana mnaongelea habari za kuzima simu mpaka mnajiumbua wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angestahili counseling kama ashafanya majaribioUsiongee kama hujui. Mpauko ameandika story ya maisha yake hapa. Huko nyuma alishafanya majaribio kama si manne basi matano ya kujinyonga. Naona this time kafanikiwa.
Ni genetics mkuu
very true. Mtu hata awe na matatizo ya aina gani, endapo kuna watu kadhaa watamjali, kumpenda na kumsikiliza inatosha kabisa kumfanya mtu huyo aepukane na mawazo ya kujiua maana kila akiwaza hivyo atakumbuka wale wachache wanaomjali. RIP mpauko!Unakuta kijana ana msongo wa mawazo..anahisi anapuuzwa..hasikilizwi tena,mambo hayaendi,mwisho wa siku ndio maamuzi kama haya..anyway mwenyezi Mungu amuweke panapostahili..
Ndo maana niliweka statement ya "..alikuwa na lengo gani. Hatujui..."Maswali mengine unaweza kujiuliza kumbe ni ya kipuuzi tu,mtu akifariki haimaanishi na namba zake za simu muda huo huo zifungwe,wengine wanaziacha kwa taarifa zaidi sababu marehemu alizitumia hizo namba kwenye mambo mengi hata ya kifedha nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi mmoja aliuanzisha, member Hazchem plate alikua anamdhihaki kweli.Katika moja ya post zake aliweka picha hii... Unaweza kuilinganisha na maisha aliyokuwa anapitia na user ID yake... Picha huongea.. maandishi hututambulisha undani wetuView attachment 1368561
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaani maana marehemu alikutana na majibu yanayokatisha tamaa inaumiza
RIP Mpauko.. His truly last seen hii hapa... Umegundua nini hapo? Tarehe na mwezi aliyojiunga JF ndio tarehe na mwezi aliyoonekana kwa mara ya mwisho tofauti mwaka tuu...!!! View attachment 1368532
Sent using Jamii Forums mobile app