Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R,I,P BROTHER!
Ukifa huna tamanio.
Kama unabisha jaribu kufa uone kama jamaa hawatakufukia fasta (najua hupendi kufukiwa)
Iwekwe picha yake, hakuna atakayemshtaki kwa michango yake enzi za uhai wake.
Uuuuuwwwwiiiiii..... Mkuu uwe unasoma basi walau comment kwanza.
Marehemu ni mdada/mmama.....
Nikifa sina ujanja, picha zangu zitawekwa mpate kujua zaidi ya mnavyomjua jogi, lakini kumbuka kuwa anonymity ni kipindi upo hai!!! Ukifa na ukabainishwa kuwa umekufa you are no longer anonymous.Embu kuwa na staha walau kidogo tu kijana, kwakuwa Dena ni marehemu sasa ndiyo privacy yake ina cease? Jamii yetu bado inaheshimu utu, msikimbilie kwenye huo upumbavu wenu.
Wewe mbona haujaanika picha yako hapa? Unasubiri nn?
Who told you that anonymity is only for the live beings? Hao verified members ni anonymous? Watu wengi tu humu wana fake ids lkn wako known to their few confidants, and that's why unaona marehemu alikuwa anakutana na members wengi tu wa JF na bado alikuwa anonymous to the rest.Nikifa sina ujanja, picha zangu zitawekwa mpate kujua zaidi ya mnavyomjua jogi, lakini kumbuka kuwa anonymity ni kipindi upo hai!!! Ukifa na ukabainishwa kuwa umekufa you are no longer anonymous.
Weeeee unataka yanikute ya Melo?Inabidi ujitambulishe angalau kwa rafiki yako mmoja mwana jamii unaemuamini!!! Ikiwa utapatwa na jambo lolote awe tayari kutoa taarifa kwa wana jamii wenzako.
REST IN PEACE DENA.