TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Ukifa huna tamanio.
Kama unabisha jaribu kufa uone kama jamaa hawatakufukia fasta (najua hupendi kufukiwa)

Iwekwe picha yake, hakuna atakayemshtaki kwa michango yake enzi za uhai wake.

Embu kuwa na staha walau kidogo tu kijana, kwakuwa Dena ni marehemu sasa ndiyo privacy yake ina cease? Jamii yetu bado inaheshimu utu, msikimbilie kwenye huo upumbavu wenu.

Wewe mbona haujaanika picha yako hapa? Unasubiri nn?
 
Uuuuuwwwwiiiiii..... Mkuu uwe unasoma basi walau comment kwanza.

Marehemu ni mdada/mmama.....

Dah, kumbe unaweza lia msibani na ukawa unalalamika marehemu alikuwa mtu wako wa karibu, kumbe ni mtoto mchanga

Poleni wana JF wote

RIP DA
 
Embu kuwa na staha walau kidogo tu kijana, kwakuwa Dena ni marehemu sasa ndiyo privacy yake ina cease? Jamii yetu bado inaheshimu utu, msikimbilie kwenye huo upumbavu wenu.

Wewe mbona haujaanika picha yako hapa? Unasubiri nn?
Nikifa sina ujanja, picha zangu zitawekwa mpate kujua zaidi ya mnavyomjua jogi, lakini kumbuka kuwa anonymity ni kipindi upo hai!!! Ukifa na ukabainishwa kuwa umekufa you are no longer anonymous.
 
Mwanadamu ni kama ua huchanua na kunyauka, Hakika siku za mwadamu za kuishi ni miaka 70 zaidi ya hapo ni shida na mateso mengi,
Vita alivipiga vikali kazi ameimaliza dena pumzika kwa Amani
 
Nikifa sina ujanja, picha zangu zitawekwa mpate kujua zaidi ya mnavyomjua jogi, lakini kumbuka kuwa anonymity ni kipindi upo hai!!! Ukifa na ukabainishwa kuwa umekufa you are no longer anonymous.
Who told you that anonymity is only for the live beings? Hao verified members ni anonymous? Watu wengi tu humu wana fake ids lkn wako known to their few confidants, and that's why unaona marehemu alikuwa anakutana na members wengi tu wa JF na bado alikuwa anonymous to the rest.
Kwamba now she is gone, that doesn't abolish her rights to privacy.
Maamuzi yako ni yako na yake ni yake, don't force your will to be somebody's will. Ukipenda wewe waweza weka will yako hiyo uitakayo kwa special thread au kwa admins na watakutendea haki pindi ukiondoka duniani, ni haki na maamuzi yako.
 
Back
Top Bottom