Pre GE2025 Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wana JF,

Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 kufuatia ushindi wa kishindo wa uchaguzi huu wa Serikali za mitaa kwa a landslide victory ya ushindi wa kishindo, kwa kwa kukomba almost everything,kila mtaa,kila kata,kila kitongoji na kila kijiji, hivyo mshindi wa serikali ya mtaa mwaka huu, ndie mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2025!。

Ushindi huu ni kufuatia mimi mwana JF mwenzenu, Pasco Mayalla, nimesikia sauti ndani ya moyo wangu, yaani ile "voices from within", kuwa katika uchaguzi huu, wa serikali za mitaa, mshindi wa jumla ni CCM!, ndie anayekwenda kushinda uchaguzi wa 2025!。

Hii voices from within yangu is never wrong, maana ni sauti yake YEYE mwenyewe!,aliye ndani yangu!。

Sasa kwa faida ya wasionijua, mimi Pasco Mayalla, ili muweze kuamini ninachowaambia ni kitu cha kweli na ndio kinatokea, naomba niwape ushuhuda mdogo wa nimewahi kuwa wa kwanza kwenye mambo mengi tu, ambayo wana jf hamjui, je wewe mwana JF mwenzangu, wajua mimi Mwana JF mwenzako Pasco Mayalla, nimewahi kuwa Mtanzania wa kwanza kwenye mambo mengi tuu, ikiwemo humu JF, mimi ndiye Mwana JF wa kwanza kuwa kada wa Chama Cha Siasa?
kufuatia wengi hawana muda kusoma makitu marefu,wale wa short and clear mnaweza kuishia hapa na ku jump kwenye conclusion

Mambo ambayo Pasco ni wa kwanza humu jf

h

  1. leo ninapowaeleza humu mshindi wa jumla wa uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni CCM,na mshindi wa uchaguzi Mkuu wa 2025 ni CCM, naombeni tuu mniamini, na kwa msio amini, endeleeni kusubiria matokeo rasmi ndipo mtaamini.
  2. Hii predictability ya mshindi wa uchaguzi kabla hujafanyika,inamaana chaguzi zetu ni very predictable,uchaguzi haujafanyika,huku watu wanajua matokeo,hii inaweza kumaanisha sio kuwa tunafanya uchaguzi,bali ni tunafanya igizo tuu la uchaguzi!。
  3. Kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa,mimi binafsi nimeshauri sana tuu Kuelekea 2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!
  4. Ombi kama hili kwanza nililitoa mwaka 2019 Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
  5. Nikashauri Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi? Samia Atabarikiwa Sana!
  6. Nikashauri Mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi: Je Tupige Ndege Wawili kwa Jiwe Moja kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa/Mkuu, Ufanyike Siku Moja au Tuendeleze Mazoea?
  7. Nikaulizia Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!
  8. Nikazungumzia Kuelekea 2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?
  9. Nikasisitiza Kuelekea 2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!
  10. Nikaomba sana Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa?
Conclusion
Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa vyama vyote, dini zote, makabila yote, jamii zote, jinsia zote, rangi zote, hali zote za maisha, matajiri na masikini na Watanzania wa circumstances zote.

Nimesikia sauti, "voices from within" ikiniambia kuwa tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis, hizi, kuna jambo fulani litatokea tena kama lilivyotokea baada ya mutatis mutandis ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020.

Hivyo uchukulie uzi huu kama uzi wa an info pack ya mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2025 ni CCM, Wapinzani labda 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

Hongera sana CCM kwa ushindi wa kishindo baada ya Watanzania kutekeleza kwa vitendo wito huu Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

Na。kuhusu uchaguzi wa 2025
Mpaka sasa wengi wanaamini mgombea wa urais wa CCM 2025 ni huyu anayetajwa tajwa, be the first to know mgombea urais wa CCM 2025 sio lazima awe yeye huyu kama HII sauti ni sauti ya kweli 。

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Na iwe hivyo!
 
Kama taifa tuna hasara kubwa kuwa na waandishi aina yako. Bora usingezaliwa.
 
Pascal Mayalla ili uwe mshindi lazima kuwe na mashindano na kwenye hili mashindano ni uchaguzi lakini kwa bahati mbaya hakuna uchaguzi uliofanyika na kilichofanyika ni danganya toto tu.
 
Uwe unaona aibu. Miaka sitini bado uchawa wa akina Dotto Magari na mwijaku. Ni ujinga kushangilia uchaguzi wa aina hii.
Badala aanze kusali, umri umeenda na kaburi limesogea, anaendekeza uchawa,

Kibaya zaidi anatumia id halisi hata sisi jirani zake tunamwona punguwani tu, na chawa Mzee,
 
Wana JF,

Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 kufuatia ushindi wa kishindo wa uchaguzi huu wa Serikali za mitaa kwa a landslide victory ya ushindi wa kishindo, kwa kwa kukomba almost everything,kila mtaa,kila kata,kila kitongoji na kila kijiji, hivyo mshindi wa serikali ya mtaa mwaka huu, ndie mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2025!。

Ushindi huu ni kufuatia mimi mwana JF mwenzenu, Pasco Mayalla, nimesikia sauti ndani ya moyo wangu, yaani ile "voices from within", kuwa katika uchaguzi huu, wa serikali za mitaa, mshindi wa jumla ni CCM!, ndie anayekwenda kushinda uchaguzi wa 2025!。

Hii voices from within yangu is never wrong, maana ni sauti yake YEYE mwenyewe!,aliye ndani yangu!。

Lengo la uzi huu sio kutangaza ushindi wa CCM uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024, bali kuutangaza ushindi wa CCM uchaguzi Mkuu wa 2025!.

Kufuatia wengi hawana muda kusoma makitu marefu,wale wa short and clear mnaweza kuishia hapa na ku jump kwenye conclusion
Mjue Pasco

Mambo ambayo Pasco ni wa kwanza humu jf

  1. leo ninapowaeleza humu mshindi wa jumla wa uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni CCM,na mshindi wa uchaguzi Mkuu wa 2025 ni CCM, naombeni tuu mniamini, na kwa msio amini, endeleeni kusubiria matokeo rasmi ndipo mtaamini.
  2. Hii predictability ya mshindi wa uchaguzi kabla hujafanyika,inamaana chaguzi zetu ni very predictable,uchaguzi haujafanyika,huku watu wanajua matokeo,hii inaweza kumaanisha sio kuwa tunafanya uchaguzi,bali ni tunafanya igizo tuu la uchaguzi!。
Maoni yangu Kuhusu uchaguzi huu wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2025

Conclusion
Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa vyama vyote, dini zote, makabila yote, jamii zote, jinsia zote, rangi zote, hali zote za maisha, matajiri na masikini na Watanzania wa circumstances zote.

Nimesikia sauti, "voices from within" ikiniambia kuwa tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis, hizi, kuna jambo fulani litatokea tena kama lilivyotokea baada ya mutatis mutandis ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020.

Hivyo uchukulie uzi huu kama uzi wa an info pack ya mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2025 ni CCM, Wapinzani labda 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

Hongera sana CCM kwa ushindi wa kishindo baada ya Watanzania kutekeleza kwa vitendo wito huu Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

Na。kuhusu uchaguzi wa 2025
Mpaka sasa wengi wanaamini mgombea wa urais wa CCM 2025 ni huyu anayetajwa tajwa, be the first to know mgombea urais wa CCM 2025 sio lazima awe yeye huyu kama HII sauti ni sauti ya kweli 。

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Unajishushia heshima na hadhi uliyoijenga na kuitengeneza kwa muda mrefu sana
 
Back
Top Bottom