Pre GE2025 Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wana JF,

Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 kufuatia ushindi wa kishindo wa uchaguzi huu wa Serikali za mitaa kwa a landslide victory ya ushindi wa kishindo, kwa kwa kukomba almost everything,kila mtaa,kila kata,kila kitongoji na kila kijiji, hivyo mshindi wa serikali ya mtaa mwaka huu, ndie mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2025!。

Ushindi huu ni kufuatia mimi mwana JF mwenzenu, Pasco Mayalla, nimesikia sauti ndani ya moyo wangu, yaani ile "voices from within", kuwa katika uchaguzi huu, wa serikali za mitaa, mshindi wa jumla ni CCM!, ndie anayekwenda kushinda uchaguzi wa 2025!。

Hii voices from within yangu is never wrong, maana ni sauti yake YEYE mwenyewe!,aliye ndani yangu!。

Lengo la uzi huu sio kutangaza ushindi wa CCM uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024, bali kuutangaza ushindi wa CCM uchaguzi Mkuu wa 2025!.

Kufuatia wengi hawana muda kusoma makitu marefu,wale wa short and clear mnaweza kuishia hapa na ku jump kwenye conclusion
Mjue Pasco

Mambo ambayo Pasco ni wa kwanza humu jf

leo ninapowaeleza humu mshindi wa jumla wa uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni CCM,na mshindi wa uchaguzi Mkuu wa 2025 ni CCM, naombeni tuu mniamini, na kwa msio amini, endeleeni kusubiria matokeo rasmi ndipo mtaamini.

Hii predictability ya mshindi wa uchaguzi kabla hujafanyika,inamaana chaguzi zetu ni very predictable,uchaguzi haujafanyika,huku watu wanajua matokeo,hii inaweza kumaanisha sio kuwa tunafanya uchaguzi,bali ni tunafanya igizo tuu la uchaguzi!。
Maoni yangu Kuhusu uchaguzi huu wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2025

Conclusion
Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa vyama vyote, dini zote, makabila yote, jamii zote, jinsia zote, rangi zote, hali zote za maisha, matajiri na masikini na Watanzania wa circumstances zote.

Nimesikia sauti, "voices from within" ikiniambia kuwa tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis, hizi, kuna jambo fulani litatokea tena kama lilivyotokea baada ya mutatis mutandis ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020.
Sijui ni wangapi humu wanaojua, kile kilichotokea ile 2021, kilichangiwa na matokeo ya uchaguzi wa 2019 na uchaguzi wa 2020, tusiporekebisha makosa, kinaweza kujirudia!.

Hivyo uchukulie uzi huu kama uzi wa an info pack ya mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2025 ni CCM, Wapinzani labda 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

Hongera sana CCM kwa ushindi wa kishindo baada ya Watanzania kutekeleza kwa vitendo wito huu Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

Hata baada ya uchaguzi huu wa serikali za mitaa, fursa to make it right kwa uchaguzi wa 2025 bado ipo!.
Rais Samia ni fursa ya kutenda haki 2025, Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya minimum reforms za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!
Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Ona aibu hata kwa mbali mwananzengo.
 
Duh kumbe mtu akizeeka kama alikuwa mpuuzi kijana bado upuuzi wake anazeeka nao.
 
Back
Top Bottom