Pre GE2025 Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na iwe hivyo!
 
Kama taifa tuna hasara kubwa kuwa na waandishi aina yako. Bora usingezaliwa.
 
Pascal Mayalla ili uwe mshindi lazima kuwe na mashindano na kwenye hili mashindano ni uchaguzi lakini kwa bahati mbaya hakuna uchaguzi uliofanyika na kilichofanyika ni danganya toto tu.
 
Uwe unaona aibu. Miaka sitini bado uchawa wa akina Dotto Magari na mwijaku. Ni ujinga kushangilia uchaguzi wa aina hii.
Badala aanze kusali, umri umeenda na kaburi limesogea, anaendekeza uchawa,

Kibaya zaidi anatumia id halisi hata sisi jirani zake tunamwona punguwani tu, na chawa Mzee,
 
Unajishushia heshima na hadhi uliyoijenga na kuitengeneza kwa muda mrefu sana
 
Uchawa na ukunguni at best. Sijui itakuwaje iwapo hutaambulia uteuzi hata wa mshika viatu wa mama yenu. Aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…