Uchaguzi 2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

Wana JF,
Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile jf advantage ya wewe kama Mwana jf, be the first to know kuwa CCM ndio inakwenda kushinda uchaguzi mkuu huu kwa a landslide victory ya ushindi wa kishindo, kwa pande zote mbili za Muungano!.

Ushindi huu ni kufuatia mimi mwana jf mwenzenu, Pasco Mayalla, nimesikia sauti ndani ya moyo wangu, yaani voices from within, kuwa katika uchaguzi huu, mshindi ni CCM!. Hii voices from within, is never wrong, maana ni sauti YAKE YEYE MWENYEWE!.

Sasa kwa faida ya wasionijua, mimi Pasco Mayalla, ili muweze kuamini ninachowaambia ni kitu cha kweli na ndio kinachokwenda kutokea, naomba niwape ushuhuda wa nimewahi kuwa wa kwanza kwenye mambo mengi tuu, jee wewe mwana JF mwenzangu, wajua mimi Mwana JF mwenzako Pasco Mayalla, nimewahi kuwa Mtanzania wa kwanza kwenye mambo mengi tuu, ikiwemo humu jf, mimi ndiye Mwana JF wa kwanza kuwa kada wa Chama Cha Siasa?. Tuanzie hapa
  1. Tangu kuanzishwa kwake, japo JF ina members wengi wa fani tofauti tofauti, lakini Pascal Mayalla, ndiye member wa kwanza kuwa recognized na modes wa JF kuwa ni kada wa chama cha siasa, hivyo kwenye nikipost chochote humu jf, chini kuna maandishi hutokea automatically yameandikwa "Pasco Mayalla sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM", hii haina maana humu jf, kada wa chama cha siasa ni mimi tuu peke yangu, but it just happened, mimi ndie the first member wa jf, kuwa kada wa chama cha siasa!. Japo najua tuna makada wengi humu wa vyama vya siasa, na sijawahi kuona kada yoyote akiandikwa so and so ni kada wa chama fulani, then this means, mimi ndiye the first jf member to be kada wa chama cha siasa!.
  2. Tangu Primary, na sekondari, somo la siasa, nilipata A, hivyo nilikuwa wa kwanza kwenye siasa, hata Chuo Kikuu, UDSM, kitivo cha sheria, somo la Katiba, lilifundishwa na Prof. Shivji, mimi somo lake nilipata A, na hata degree yangu ya sheria LL.B ya UDSM ni (hons), na iko tuu kabatini, mimi nikiendelea kuwa mwandishi wa habari, na inawezekana mimi ndie mwandishi wa habari wa kwanza, mwenye LL.B Hons, ambaye naendeleo kuandika and get nothing, badala ya kuwa wakili na kupiga pesa ndefu!.
  3. Nalipokuwa JKT Makotupora kwa mujibu wa sheria, mimi ndiye niliongoza somo la Range, na Parade, kwenye kupiga parade mwendo wa haraka, wakati wa kutoa heshima, mguu wangu huku umenyooka, ulipiga heshima kwa 90 degrees, hivyo kumaliza JKT, niliunganishwa moja kwa moja kujiunga na JWTZ, kule tukapigishwa depo mpya, kwa vile wito wangu haukuwa kuwa mjeda, niliaga rasmi JWTZ, nikajinga na TSJ kusomea uandishi wa habari.
  4. Baada ya kuhitimu TSJ, nikajinga na RTD, kule nikashauriwa niende newsroom, kwasababu enzi hizo, kwasababu nilipenda utangazaji, nikawa ni mtangazaji wa kwanza wa RTD kuingia utangazaji na Diploma, enzi hizo watangazaji wengi ni form IV tuu.
  5. Nikiwa RTD, enzi hizo tukilipwa mshahara dirishani, kuna mahali moyo wangu ulimdondokea mtu, hivyo kuna siku baada ya kupokea bahasha ya mshahara, nilimkabidhi mtu, bahasha hiyo hivyo hivyo ilivyo, hivyo kuwa mtangazajimpya wa kwanza aliye ...mshahara wake wote shauri ya kupenda!.
  6. Nilijiunga Televisheni ya DTV mwaka 1995, na mimi ndie mtangazaji wa kwanza wa TV Tanzania kuhost TV Talk Show, ikiitwa "Mada Moto" kuzungumzia uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi. Kipindi hicho, kiliandaliwa na Mjerumani mmoja akiitwa Wolfgang Baraniek akishirikiana na Mtanzania, Beatrice Mugishagwe na kilidhaminiwa na wafadhili mbalimbali wa kimataifa, nilikuwa navuta TZS 1.M, mwaka 1995!, naomba msiniulize nilifanyia nini hizo pesa, ila mwaka huo ndio nilioa, na honeymoon yangu ni London nchini Uingereza!.
  7. Baada ya uchaguzi, ndipo Nikachukuliwa na Masai Studios, kuendesha kipindi cha Kiti Moto, nikiwa tena pioneer host wa talk shows za ukumbini, reality show.
  8. Mimi ndiye mwandishi wa kwanza wa Tanzania kuripotia Local TV, mikutano ya UNGA from New York kwa miaka mitano mfulululizo.
  9. Mimi ndiye mwandishi wa mwisho kufanya mahojiano na Baba wa Taifa kabla hajaugua, ambayo tuliyafanya The Bundes House, nchini Uswisi, na mimi ndiye mwandishi pekee wa Tanzania aliyekwenda kumtembelea Mwalimu hospitali ya St. Thomas inchini Uingereza, na kisha kuja kumzika Mwitongo.
  10. Mimi ndie the first journalist kutumia big bike kukusanyia habari, bike yangu ilikuwa kubwa na haina kiti cha abiria bali ina sanduku lenye video camera na still camera.
  11. Mimi ndiye mwandishi wa kwanza wa Tanzania kufanya VJ, yaani video journalist, unaandika mwenyewe, unapiga picha mwenyewe, unajirekodi mwenyewe, una edit mwenyewe, na unatuma story yenye piece to camera huku kila kitu umefanya mwenyewe
  12. Mimi ndiye mwandishi wa kwanza wa private media, kuandamana na misafara ya ziara za rais nje ya nchi, hivyo nimeandamana na rais Mkapa, na JK katika ziara kibao, kutokana na uwezo wa multi task.
  13. Humu jf, mimi ndiye mtu wa kwanza kuwaeleza watu humu Magufuli ndio atakuwa rais 2015!. Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
  14. Mimi ndio the 1st kuwaeleza watu humu Makonda atakuwa RC wa DSM. Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
  15. Mimi ndio the first kuwaeleza watu humu kuwa Mwanasheria mkuu wa Zanzibar atafutwa kazi. Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
  16. Kwenye siasa, mimi ndiye mwandishi wa kwanza kuaga rasmi fani ya uandishi na kusema nitajiunga na siasa. Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge
  17. Siku naanga rasmi media, mimi ni mwandishi wa kwanza kuaga rasmi from studio nikiwa live.
  18. Kumbe kuwa the 1st, pia kuna faida zake na hasara zake, kufuatia kuwa the 1st kwenye mengi, nilipojitokeza kutangaza nia Kawe, baada ya kupata the 1st vote, ikagomea hapo hapo!.
  19. Kuna mambo mengi nimeyaeleza humu na yakatokea,
  20. Hivyo leo ninapowaeleza humu mshindi wa uchaguzi huu ni JPM na CCM, naombeni mniamini, na kwa msio amini, subirini October 28 ndipo mtaamini.

Nawatakia maandalizi mema ya October 28, sio kwenda kuchagua, bali tuu kuthibisha kukamilisha mchakato.

Pasco,
The First

Naomba tu sasa watawala wakuone! Wamekunyamazia sana Ingawa umeenda very low!
 
Vituo vya kura kwa mujibu bwa tume viko 80,155, na kila kituo cha kupigia kura kina wapiga kura 450-500. 81,155x450= 36,069,750. Wapiga kura wako 29m+, ina maana kuna wapiga kura 6m+ hewa. Tume inateuliwa na Magufuli, hapo unatabiri mshindi au unasaka point za mezani?
 
Bila wasiwasi mitano tena

Magufuli 5 tena 1st [emoji817]

Hapa kijijini ninapoishi,tumekuweka mahema.. ng'ombe na mbuzi wakuchinja.. vinywaji vinafika leo, yaani tunajipa furaha Jumatano hakuna kulima na usafiri wa luxury mabasi.. upendo kijijini hapa, tutakula pati haswa, furaha sana.. chinja tule nyama.. MITANO TENA sisi tulimsikia Magufuli akisema, na asile, kijijini kama town moja kule nje ya downtauni kubwa.
Umeme wa REA na maji bombani muda wote, eeeh

Karibuni mjumuike nasi.. [emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
Magufuli oyeeeeeeee
 
Tatizo lenu mnapenda kusikia vile mnavyovipenda, mtu asiposema yale mnayoyapenda mnaanza kumwita kua hana akili. Sinaga chama chochote but I serve the realm, my loyalty lies to my country Tized. I don't care nani kaka pale juu kuongoza taifa bali anategemeka na wananchi? Anafanya yale wananchi walotegemea kuyafanya Kipatriot?

Naona mnapenda kumpopoa sana mtoa mada kana kwamba yeye kawa hapa JF kuandika yake mnayotaka ninyi aandike. Maisha yanaleta maana mtu ukiwa na Choices/Free will. Muache mtoa mada aandike kile alichoona yeye inafaa kutokana na choice yake. Shambulia hoja zake sio kumshambulia yeye binafsi
Sinaga chama chochote but I serve the realm, my loyalty lies to my country Tized. I don't care nani kaka pale juu kuongoza taifa bali anategemeka na wananchi? Anafanya yale wananchi walotegemea kuyafanya Kipatriot?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Tena ma -mods ebu mpigeni ban mapema huyu 'msaka tonge' mkimuacha adi siku ya uchaguzi ata hack server zote za JF na kutusababishia usumbufu mkubwa, kama mnakumbuka vizuri uchaguzi 2015 JF ilipata misuko suko ya kutosha nadhani huyu jamaa alikuwa na mkono wake
 
Kwanini unasema kuwa wewe ndo 'mwana jf wa kwanza kuwa kada wa chama cha siasa?'

Kwa taarifa yako hufai kuwa hata kiongozi, unatafuta uteuzi, unajipigia chapuo!

Hahaaaa!
 
Acha ndoto hizo! Hata kwenye ubunge ulijua utashinda, mwisho wake ukaambulia kura moja.
 
We lisukuma njaa unaaibisha wasukuma wachache wasio wanafiki.Huna lolote hapa unaweza kuteuliwa tu.
 
Nasubiri utakapo kuwa wa Kwanza kuuza moja ya bike yako Kwa mwanajamii Forum mwenzako.
 
Paskal. Nunua eneo pembeni ya jiji la dar Anza ufugaji wa kuku na kitimoto. Unatumia nguvu zako vibaya na umri ndo hio unakutupa mkono.
 
Kwa ujinga mnaoufanya msijigambe wala kujimwambaf yakwamba mtashinda Kwa ushindi WA kishindo wakati hamna uwezo huo. Usenge wenu huu mnaoufanya msijelaumu mtu jilaumuni nafsi zenu.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Chaguzi zetu ni kuendelea kujididimiza kwenye umasikini tu. Hata watu wasipoenda kabisa kupiga kura, kuna watu watashinda kwa kishindo.

Nafikiri safari hii wameamua kutorudia kosa la uchaguzi uliopita, walijikita zaidi bara wakasahau visiwani kuja kushtuka maji yapo shingoni, ikabidi Jeicha apindue meza hekaluni.

Safari hii kidogo mmejaribu kuweka siku mbili Visiwani mmalize biashara mapema nguvu ielekezwe Bara.

Tahadhari tu mzingatie kanuni za hesabu isijekujirudia kura za chama kinachotangazwa mshindi kinazidi waliojiandikisha.
 
Tundu Lisu anaondoka kwenda Ulaya baada ya Uchaguzi, akifika huko atajitangaza mshindi wa Uchaguzi na Raisi wa JMTZ na kuunda Baraza lake la Mawaziri, haikuwa bahati mbaya Mbowe kusema atakuwa Waziri Mkuu baada ya Oktoba 28, sasa sijui wamejipanga vipi (chadema) lkn nijuavyo mimi ni Uhaini na adhabu yake ni Kifo.
 
Nimeipenda sana hii.
Kabisa kabisa unasupport ujinga. Ah ah chadema bana akili zenu mnazijua wenyewe. Hivi unadhani hapo angemwagwa mavi huyo mrusha mawe kuna atakayeingilia kati ah ah endeleeni tu mjue kwanini George floyd aliuliwa marekani na hamna nchi iliyosema chochote.
 
Back
Top Bottom