Nakazia hapa.Paskaliii Watanzania ni watu makini sana
Halafu kaa ukijua Mungu hadhihakiwi na mkono wa Mungu mliyemnyang'anya ukuu wake utawashughulikia ili mtambue kuwa yeye ni Mungu.
Huyu jamaa pamoja na kuwa na umri mkubwa lakini bado hajaelimika na busara kwake ni mtihani mgumu sana. Haki huinua taifaCV yako haiondoi ukweli kuwa uko biased!
Isitoshe,hatuna chombo huru cha kusimamia na kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki hivyo huna uhalali wa kusema kuwa CCM atashinda.
Kazi yako kubwa hapa JF ni kufanya propaganda kwa lengo la kutaka kuwaaminisha watu(kuwaanda kisaikolojia) kuwa CCM itashinda kihalali wakati ukweli unaujua.
Mtu anayeopgopa ushindani ndani ya chama chake ndio unakuja kutuambia atashinda?
Mshindi ni Lisu na CHADEMA, ccm hatuitaki.
Tumechoshwa matusi, manyanyaso, masimango, dhulma, kunyimwa haki ndani ya nchi yetu wenyewe.
Mwenye shibe hamjui mwenyewe njaa, bora tusiwe na fly over tuwe na HAKI, usawa na amani.
Tumechoshwa na unyanyasaji wa vyombo vya Magufuli.
Mahakama zake zimegoma kutoa haki, polisi wake wamegoma kutoa HAKI, TAKUKURU ndio kabisa badala kuzuia rushwa ndio wamekuwa wala rushwa na kutishia watu,ili wapate rushwa.
No piece no justice.
Ila Diwani wa Chadema akishinda Tume itakuwa huru! Hamueleweki mjue?? Sasa kama huna imani na tume kwa nini umemsimamisha diwani agombee!? Akili 'kubwa' hizi zina tia mashaka!Isitoshe,hatuna chombo huru cha kusimamia na kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki hivyo huna uhalali wa kusema kuwa CCM atashinda.
Haki ya kuchagua ni mtakaye sio kuchaguliwa na vyombo vya dola, niende polisi nipate, haki badala ya kutupwa mahabusu kwa kutishwa nisidai haki yangu.Haki ipi unayoitaka ambayo sasa hivi umenyimwa? Kwa maana umelitaja neno haki mara nyingi na kwenye maandishi yako, ...
Haki ya kuchagua ni mtakaye sio kuchaguliwa na vyombo vya dola, niende polisi nipate, haki badala ya kutupwa mahabusu kwa kutishwa nisidai haki yangu.
Nisilazimishwe kuwamwaba ccm na nisitishwe kwa kuwakosoa ccm na serikali yao.
Mahakama isiingiliwe na serikali na ccm, na isiwe kichaka cha ccm kunyamazisha watu.
Mahakama zitende HAKI kwa watuhumiwa wote badala kutumika kisiasa, kulazimisha watu kufanya wasiyoyataka na kwa kutishiwa vifungo.
Waliokaa Mahabusu miaka 10 wafikishwe mahakamani na wapewe dhamana na kesi ziendelee wakiwa nje wakiendelea na maisha yao.
Takukuru wazuie rushwa badala kugeuka kututisha na kutubambikia kesi za rushwa tunapopeleka madai ya msingi.
Haki ya kuishi huru na kuongea kwa uhuru bila kutishwa na maccm na vyombo vya dola vinavyotetea maslahi ya ccm badala ya wananchi.
We have laws but no justice.
No justice no peace.
Na sikukuongelea wewe nilijiongelea mimi na ninao wawakilisha tunaokosa Haki hizo nchini kwetu Tanzania.Mimi nina hizo haki zote hapa Tanzania ulizoziorodhesha na sijui mtu yoyote kwenye familia, rafiki au jirani yoyote ambaye anasema hana haki hapa Tanzania, hivyo labda ni shida binafsi zaidi na ungeanza na wewe labda una matatizo makubwa zaidi ya kibinafsi, acha kunyooshea wengine vidole, jaribu kutatua matatizo yako binafsi kwanza, ...
Na sikukuongelea wewe nilijiongelea mimi na ninao wawakilisha tunaokosa Haki hizo nchini kwetu Tanzania.
Ukiona unapata hizo haki ndio ujue wewe ni ccm au baba yako au mama yako au wazazi wako wote ni watawala wa ccm, ndio wako privileged kupata kila kitu bila shida yoyote hata wanapovunja sheria, na hata wasipostahili.
Mimi na ninao wawakilisha tunaipigania haki na usawa nchini mwetu Tanzania.
Tumedhulumiwa mahakamani, tukaombwa rushwa mahakamani, tukaenda takukuru tukataka kupewa kesi ya rushwa, kwa nadai eti sisi ndio tunaichafua nchi.
Hivyo tunalazimishwa kuinunya HAKI , ukiitafuta unaambiwa unaichafua nchi, kwamba mambo madogo mpaka twende takukuru , sasa takukuru ina kazi gani kama sio kuzuia rushwa?!
Vyombo vya kutoa haki vinatuona wasumbufu, wajinga, na tusioelewa utaratibu, tukiombwa rushwa mahakamani ni sahihi kabisa kwao.
We have laws but no justice.
No justice no peace.
Chagua Lisu na CHADEMA.
Sasa hayo matatizo yako, kwanza CUF iliiisha kufa haipo, CUF kabaki Lipumba.Siyo kweli, kwanza familia yangi mimi wala hawajihusishi na Siasa, na majirani na marafiki wengi ni CUF na hawaipendi CCM kabisa, lkn sijawahi kusikia wakisema hawana haki hapa Tanzania, ...