Uchaguzi 2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

Leo naona umepost CV yako kiaina ili isomwe na Magfuli.
Magufuli alishakujua akakuambia pale Ikulu, jina lako maana yake ni NJAA.
Kifupi una NJAAA.

Hopefully awamu hii utafanikiwa
 

Mkuu nimependa hapa:

"..... mimi mwana jf mwenzenu, Pasco Mayalla, nimesikia sauti ndani ya moyo wangu, yaani voices from within, kuwa katika uchaguzi huu, mshindi ni ..."

Vipi ka sauti kama hako hukukasikia pale Kawe kuwa kwenye lile janguro lenu na wale wajumbe kwamba pale mshindi alikuwa atakuwa gwaji boy ili ukapate angalau kumwuunga juhudi zake?
 
Haya majigambo ya CV ndio yule jamaa akihojiwa kuhusu PHD yake anateka watu.

Hii nchi sio mali yenu.
 
huyu mtu bado ajapigwa ban tuuu, mods yaani mnasubiri adi JF servers 'zishambuliwe' ndiyo mchukue hatua, ebu tandikeni huyu mtu ban haraka kabla hajaleta madhara
 
Msaidie barafu
 
Na laana hii inamtafuna hadi aingie kaburini
 
Weka sababu kwanini ccm watashinda sio kusema watashinda tu
 
Basi labda wewe pamoja na Familia yako mtakuwa na matatizo na Serikali ya CCM, lkn usitake kufanya matatizo yako yawe ya Watanzania wote, ...
Hahaha hivyo mimi sio mtanzania?! Ndio maana naichukia ccm, yani shida ni zenu, zetu sio shida?!

Mfumo mbovu unaletea watu matatizo halafu useme nifamilia yangu tu?!

Yani kila mwenye tatizo na serikali ya ccm anakuwa siyo Mtanzania.

Mnachekesha sana, ndiyo maana mwenyekiti wako anataka tumuombee yeye tu, akifiwa yeye nasisi tuomboleze, ila sisi tu deal na matatizo yetu.

Kweli mkishiba kodi zetu mnatuona ng'ombe sana.

Yani matatizo mnatuletea nyinyi halafu mnasema hayo ni yetu binafsi.

Kwa maana hiyo tunalazimishwa kuipenda ccm?!

Siipendi ccm na watu wake kwa kujiona wao ndio watu au binadamu pekee nchi hii.

Anyway usisahau kumpigia kura Tundu Lissu na CHADEMA Kwa Haki, usawa, uhuru na maendeleo ya Tanzania.
 
I go with this pia.Tanzania Kwanza.
 

Sikujua kama akili zako ni sawa na Ze Lemutuz
 
Mayalla maana yake njaa!!! Naona unaandaa cv kabisa ili jpm akupe cheo incase akishinda
 
Chadema tuliwaonya wasimsimamishe msaliti wa Nchi ! Ona sasa kabla jogoo halijawika wanaokota manyoya
 
Hiyo sauti ndio ilikuambia ukachukue fomu kawe na utashinda?
Piga chini hiyo sauti mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…