Uchaguzi 2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

Atulie tu haraka haraka haina baraka! Subira ya vuta heri! Ale pensheni, akiendelea hivi, tutamskia anagombea ujumbe wa nyumba kumi huko
 
Nakubalina na wewe mkuu
 
Atulie tu haraka haraka haina baraka! Subira ya vuta heri! Ale pensheni, akiendelea hivi, tutamskia anagombea ujumbe wa nyumba kumi huko
Siku hizi Subira havuti heri, anavuta bangi mlamu!
 
Kwa vile kilimo ndo kazi ya hovyo mno au vipi, sisi walaji pia tunastahili kilicho bora.

cc: miminimkulimaakachekasana
 
Kwani kila anayegombea kazima apate? Kama angebaki CDM na kisha kushindwa vibaya kura za maoni badi mngempitisha?
Kuhama CDM hakuna uhusiano na kushindwa kwake kura za maoni. Wewe furahi mbaya wako ameshindwa basi.
 
Kilichomtoa ni kitu kidogo sana. Aliona kuacha Posho za siku 14 za kukaa karantini ni kosa kubwa sana, akheri agombane na Viongozi wake kuliko kuachia hizo Posho.
Na kujiona mtoto wa mjini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…