"Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

Kwa mujibu wa Uislamu Ismail sio mtoto wa zinaa wala Daudi pia sio

Kwa nini sasa kama sio mtoto wa zinaa Ibrahim Babaye hakumrithisha Mali licha ya kuwa ndiye mtoto wake wa kwanza?

Pili, kwa nini Hajri alifukuzwa wakati uislam unamtambua kama Mke halali? Upande wa Biblia na maandishi ya kiyahudi yakimuona kama kijakazi tuu
 
Swali la ufahamu kwa anayeelewa.
Mtoto wa nje ya ndoa ni yupi? Kwa mfano watu wameoana wakazaa watoto halafu wakapeana talaka. Baba akaoa tena,na akazaa na huyo mke mpya.
Je watoto wa mke wa mwanzo ambaye si mkewe tena, kisheria wapo kundi gani?
 
Sheria ipi ya Dini unaposema Dini yao?
Kwamba Ibrahim hakuwa na dini?
Hii hoja au kioja,unampangia mtu muda wa kukata tamaa,kufanya jambo lake?

Waandishi wa biblia wanaotaja umri halisi wa Ibrahim waongo, Ibrahim alizaliwa ur Iraq ya leo,hapo palestina alihamia,nani alikua na cheti cha kuzaliwa cha Ibrahim?
 
Sasa hapo si mnabishana bure tu maana mnatumia maandiko tofauti

Tutatumia yote alafu tutaangalia mantiki. Yenye mashiko.
Maandiko yenyewe tumeyakuta. Tutaangalia mantiki kwenye hizo stori.

Hoja ya kusema Hajri alikuwa mke wa ibrahim inakosa mashiko kutokana na sababu nilizotoa huko juu
 

Wewe umesema Dini yao ndio nikakuuliza ipi ili tutumie hiyo kama reference ya hizo sheria zilizomruhusu na kuongoza maisha yake.

Wajukuu wa Ibrahim, nyumba kubwa, watoto halali ndio waliotoa historia ya huyo Mtu aitwaye Ibrahim Babu yao.

Mtoto wa nje, Ishmael hawezi kuwa na Simulizi za kina za Baba yake kwani alifukuzwa.
 
Mimi naongelea upande wa Uislamu kwa hiyo hayo uliyosema kwa upande wetu sio sahihi maana watoto wote wawili hakuna walichorithi na wala Hajra hakufukuzwa
 
Hata ukiwa mtoto wa ndani ya ndoa; baba yako anaweza andika wosia usipate chochote na ikawa hivyo.
Baba yako akitaka upate mali yake hata kama ni wa nje ya ndoa, unapata tuu. Anaweza tumia njia nyingi tuu.
Baba zetu huko Mpwapwike hawajui hata Wosia ni kitu Gani.
 
Mimi naongelea upande wa Uislamu kwa hiyo hayo uliyosema kwa upande wetu sio sahihi maana watoto wote wawili hakuna walichorithi na wala Hajra hakufukuzwa

Sasa kama Ishmail na Hajri hakufukuzwa aliyejenga Kaaba huko Makka ni Nani Mkuu?
 
Tutatumia yote alafu tutaangalia mantiki. Yenye mashiko.
Maandiko yenyewe tumeyakuta. Tutaangalia mantiki kwenye hizo stori.

Hoja ya kusema Hajri alikuwa mke wa ibrahim inakosa mashiko kutokana na sababu nilizotoa huko juu
Hatuwezi kutumia yote kwa wakati mmoja maana yanakinzana
 
Hatuwezi kutumia yote kwa wakati mmoja maana yanakinzana

Tutatumia yote kwa sababu yanarejelea watu walewale.
Lazima stori moja iwe ni uzushi(uongo) na nyingine iwe kweli.

Na kama ni riwaya za kubuni za wakati ule.
Basi mtunzi mmoja stori yake unakosa mantiki huku nyingine itakuwa na mantiki
 
Kama wazazi waliweza kufanya mapenzi wao sasa mtoto anahusika na nini.
kila mtu ataleta claimings zake kutoka kwenye mafundisho ya dini yake

but all in all Tubadilishe fikra watu wamekuwa wakiwatelekeza watoto wao wa nje ya ndoa na kuacha wakihangaika na maisha kisa imani zao za kipumbavu na kukalilishwa mambo.
This is stupidity?????

Mtoto ha
 
Zamani sana 1980"s nikiwa UDSM watu kama wewe tuliwaita "vilaza" na watu wa "Vapour" na "hayawani" ila leo tunataka upende kujifunza walau utoe Tonggo tongo, hakuna kilichobadilika.
 
Makafiri ndio wana watoto wa zinaa na haramu.

Tena wanawatenga kabisa.

Angalia hapa.

Kumbukumbu la Torati 23:2​

"Mwana wa zinaa asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi mtu wake asiingie katika mkutano wa Bwana."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…