Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
- Thread starter
-
- #61
Akiandika na kukutoa kwenye urithi laazma aeleze sababu za kufanya hivyo la sivyo huo wosia unapigwa chini mahakamani.Hata ukiwa mtoto wa ndani ya ndoa; baba yako anaweza andika wosia usipate chochote na ikawa hivyo.
Baba yako akitaka upate mali yake hata kama ni wa nje ya ndoa, unapata tuu. Anaweza tumia njia nyingi tuu.
KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.
Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama.
Ingawa hana urithi wa moja kwa moja kwa baba, mtoto huyo anaweza kufaidika na mali ya baba yake kupitia njia zifuatazo kama njia ya wema na usaidizi:-
Soma Pia: Watoto wa ndani ya Ndoa wapewe urithi zaidi ya watoto wa nje ya ndoa
WAFUASI WA YESU {WAKRISTU}
- Zawadi na Hiba: Baba anaruhusiwa kumpa mtoto huyu zawadi (Hiba) wakati wa uhai wake kama ambavyo anaweza kuwapa watu wengine.
- Wosia / Thelutthi: Baba anaweza kumuandikia mtoto huyo wosia akampatia sehemu ya mali yake. Katika Uislamu, wosia hutolewa kwa kuzingatia isizidi theluthi ya mali yote ya marehemu, huku theluthi mbili (2/3) zikibaki kwa ajili ya warithi halali.
- Wakfu: Baba anaweza kumwekea mtoto wakfu, kama vile nyumba au shamba, ili mtoto huyo aweze kunufaika na matunda au pato la mali hiyo wakati wa uhai wake
1. Mtoto wa Zinaa, mlipeana mimba hata kama ina wiki mbili ndio mkaoana, huyo mtoto ni wa zinaa, je anapata urithi?
Umesema vyema, sasa ni wakati muafaka ukafungue kesi mahakama kuu ya Tanzania pale Kivukoni kupinga Uhalali wa Quran na kupinga SURAT AL NISA 4: 1-11 kwamba ni batili.Mtoto ndo aliwatuma wazazi wake wamzae nje ya ndoa au ni wazazi waliamua kuzaa nje kwa akili zao timamu? Kama ni mtoto aliwatuma wazazi wamzae nje ya ndoa basi mtoto wa nje anyimwe urithi kwa kosa la kutaka kuzaliwa nje ya ndoa. Kama hakuwatuma basi wazazi wake walipie kosa la kuzaa mtoto nje ya ndoa, hakuna kulipia madhambi ya mwingine
Dini ya kujisalimisha mbele ya mwenyezi MunguWewe umesema Dini yao ndio nikakuuliza ipi ili tutumie hiyo kama reference ya hizo sheria zilizomruhusu na kuongoza maisha yake.
Ibrahim hakuwa na cheti cha kuzaliwa,hata yeye hakuwa na hakika na umri wakeWajukuu wa Ibrahim, nyumba kubwa, watoto halali ndio waliotoa historia ya huyo Mtu aitwaye Ibrahim Babu yao.
Ismaili(kwa mujibu wa biblia) aliondoka akiwa kijana mkubwa, maana alimzidi mdogo wake takribani miaka 11,so maelezo ya mzee wake aliyashika vizuri tuMtoto wa nje, Ishmael hawezi kuwa na Simulizi za kina za Baba yake kwani alifukuzwa.
Imani zinawafanya watu wawaite binadamu wenzao "mtoto wa zinaa"KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.
Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama.
Ingawa hana urithi wa moja kwa moja kwa baba, mtoto huyo anaweza kufaidika na mali ya baba yake kupitia njia zifuatazo kama njia ya wema na usaidizi:-
Soma Pia: Watoto wa ndani ya Ndoa wapewe urithi zaidi ya watoto wa nje ya ndoa
WAFUASI WA YESU {WAKRISTU}
- Zawadi na Hiba: Baba anaruhusiwa kumpa mtoto huyu zawadi (Hiba) wakati wa uhai wake kama ambavyo anaweza kuwapa watu wengine.
- Wosia / Thelutthi: Baba anaweza kumuandikia mtoto huyo wosia akampatia sehemu ya mali yake. Katika Uislamu, wosia hutolewa kwa kuzingatia isizidi theluthi ya mali yote ya marehemu, huku theluthi mbili (2/3) zikibaki kwa ajili ya warithi halali.
- Wakfu: Baba anaweza kumwekea mtoto wakfu, kama vile nyumba au shamba, ili mtoto huyo aweze kunufaika na matunda au pato la mali hiyo wakati wa uhai wake
1. Mtoto wa Zinaa, mlipeana mimba hata kama ina wiki mbili ndio mkaoana, huyo mtoto ni wa zinaa, je anapata urithi?
Ndio Baba akitaka it's possible na Sheria inamruhusu halina tatizo Hilo. My point ni kuhusu mtoto wa ndani ya ndoa kutopewa kabisa urithi kisheria haiwezekani.Waislamu huwa mnaoa mke zaidi ya mmoja hasa hao wenye kipato. Wake wawili wakizaa watoto walau wawili wawili tiyari watoto wanne hapo.
Mtoto wa nje mmoja alipata 1/3 kisheria ikiwa baba yake alimpendelea baada ya kuona watoto wa ndoa ni matutusa. Tiyari mtoto wa nje anakuwa na urithi mkubwa kuliko wa ndani.
Huwezi kuzipatanisha kwa sababu ni tofauti kwa hiyo tutakuwa tunabishana tu wewe ukisema alifukuzwa mimi nasema hakufukuzwa,ukiuliza kwa nini hakurithi nakujibu wote hawakurithi,ukisema alikuwa mtoto wa pili nakuambia alikuwa mtoto wa kwanza n.kTutatumia yote kwa sababu yanarejelea watu walewale.
Lazima stori moja iwe ni uzushi(uongo) na nyingine iwe kweli.
Na kama ni riwaya za kubuni za wakati ule.
Basi mtunzi mmoja stori yake unakosa mantiki huku nyingine itakuwa na mantiki
Hajra alikua mke halali wa Ibrahim,Ishmael alikuwa mtoto haramu,
Kipi unabisha?
Kuitwa "mtoto wa zinaa" na "kafiri" lipi linauma zaidi dear?Imani zinawafanya watu wawaite binadamu wenzao "mtoto wa zinaa"
Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersionUkoo alitoka Yesu ni ukoo wa zinaa
Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion
Hakuna zinaa iliyofanyika
Dini ni uchiziKwani kina Daudi sio wana wazinaa.
Yesu katokea kwenye ukoo wa zinaa.
Huyo Muhamad mwenyewe aliyeanzisha uislam ambaye chimbuko lake ni Ishmael ambaye ni mtoto wa zinaa.
Hajra alikua mke halali wa Ibrahim,
1. Kwa Ukristo, Genesis 16:3
So after Abram had been living in Canaan ten years, Sarai his wife took her Egyptian slave Hagar and gave her to her husband to be his wife.
2. Kwa Uisilamu
Same story ipo narrated toka hadithi mbalimbali na seerah ya Uisilamu,
Wewe unaposema walizini huo ushahidi umetoa wapi? Kama si kuropokwa Tu?
Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion
Hakuna zinaa iliyofanyika
Dini ya kujisalimisha mbele ya mwenyezi Mungu
Ibrahim hakuwa na cheti cha kuzaliwa,hata yeye hakuwa na hakika na umri wake
Ismaili(kwa mujibu wa biblia) aliondoka akiwa kijana mkubwa, maana alimzidi mdogo wake takribani miaka 11,so maelezo ya mzee wake aliyashika vizuri tu
Na si mtoto wa nje, ndiyo maana kwa mujibu wa biblia Mungu alimwambia Ibrahim..na kwa mwanao Ishmael...Mungu anatambua Ishmael ni mtoto wa Ibrahim na hakusema wa nje
Dini ni uchizi
Sasa mtoto ana kosa Gani mpaka asipewe urithi. 😁😁
Idiots
Acha uongo kwa mujibu wa sheria ya dini ipi? Au ilikuwa ni ushauri wa Sarah?Hii haina mantiki kwenye mdahalo
Jitahidi uelewe na kuzingatia maelezo ya mtu
Ibrahim hakumnunua hajra kama mke bali mtumwa/mja kazi
Ilipofika uzazi shida kwa mkewe na umri unakombia,kwa kuwa Sheria ya dini Yao iliruhusu, Ibrahim akamuingilia mjakazi wake na automatically akawa mkewe
By the way mahari ni bei ya mke
Ulichoandika hapo kinakinzana nini na nilichoandika Mimi na kinaprove wapi kwamba walizini?MWANZO 21
. 10. Basi, Sara akamwambia Abrahamu, “Mfukuzie mbali mjakazi huyu na mwanawe. Haiwezekani kabisa mtoto wa mjakazi kurithi pamoja na mwanangu Isaka.”
11. Jambo hili lilimhuzunisha sana Abrahamu kwa kuwa Ishmaeli pia alikuwa mtoto wake.
12. Lakini Mungu akamwambia Abrahamu, “Usihuzunike kwa sababu ya mtoto huyu, wala huyo mtumwa wako wa kike. Lolote akuambialo Sara lifanye; kwa kweli wazawa wako watatokana na Isaka
Hapa kuna hoja zifuatazo;
1. Mungu hamtambui Hajiri kama Mke wa ibrahimu. Anamtambua Hajiri kama mtumwa wa kike wa Ibrahim
2. Sarah anamtambua Hajri kama kijakazi.
Msimuliaji yeye anasemaje?
Kwani nabii Selemani alikuwaje. Unataka ufunfishwe na nani kuwa hakuna mwana haramu?KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.