gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Ndiyo muktadha mlio nao?..ndicho kinachowafanya mumuombe yesu badala ya Mungu kwenye ibada zenu?..huwa mnamtaja Mungu huko au yesu ndiyo kila kitu muweza wa yote?..anaponya,anaokoaYesu kwenye Biblia sio binadamu pekee aliyeitwa Mwana wa Mungu.
Wapo wengi.
Na Biblia iko wazi ukimuamini Mungu na kutenda mapenzi yake unakuwa mwana wake(mwana wa Mungu).
Ukiwa mpatanishi unakuwa mwana wa mungu. Hiyo ni Biblia.
Umeongea ukweli sanaHamna cha mtoto haramu hapo. Hiyo ni kesi ya maslahi tuu kama zamani mtoto wa kwanza au wa mwisho ndiye mrithi.
Mtoto ni mtoto.
Suala la urithi ni suala la Baba na mwenye MALI vile atakavyoona.
Pili sheria za wakati husika
Muhammad ni binadam kama wengine, kusubiri hukumu haimaanishi una kosa,hukumu inaweza ikawa ni kukutakasa kuwa huna kosa,hakiki mantiki zako kabla hujaja mbele ya hadhara
Ndiyo muktadha mlio nao?..ndicho kinachowafanya mumuombe yesu badala ya Mungu kwenye ibada zenu?..huwa mnamtaja Mungu huko au yesu ndiyo kila kitu muweza wa yote?..anaponya,anaokoa
Ndiyo muktadha mlio nao?..ndicho kinachowafanya mumuombe yesu badala ya Mungu kwenye ibada zenu?..huwa mnamtaja Mungu huko au yesu ndiyo kila kitu muweza wa yote?..anaponya,anaokoa
Adam alizaliwaSuhendra anakuambia Muhamad alikuwa hafanyi dhambi, au kina Daudi sijui Ibrahim
Sasa kama Nabii hafanyi dhambi huyo Adam ambaye ndiye Nabii wa kwanza kwa mujibu wa uislam mbona alimuasi Mungu Eden?
Yaani kuna watu kufikiri kwao wameachia mitume😂
Tunaongelea mivurugano ambao umedai ni mwingi kwenye Quran kuliko bibliaUnazungumzia watu au kitabu au visa vya kwenye Biblia? Au kwenye Quran ndio kuna watu wanamtaja au kumwomba Yesu kama Mungu?
Adam alizaliwa
Vipi kwa uwezekano wa mtoto wa 'ndani ya ndoa' akawa kiukweli ni "mtoto wa nje"?KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.
Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama.
Ingawa hana urithi wa moja kwa moja kwa baba, mtoto huyo anaweza kufaidika na mali ya baba yake kupitia njia zifuatazo kama njia ya wema na usaidizi:-
Soma Pia: Watoto wa ndani ya Ndoa wapewe urithi zaidi ya watoto wa nje ya ndoa
WAFUASI WA YESU {WAKRISTU}
- Zawadi na Hiba: Baba anaruhusiwa kumpa mtoto huyu zawadi (Hiba) wakati wa uhai wake kama ambavyo anaweza kuwapa watu wengine.
- Wosia / Thelutthi: Baba anaweza kumuandikia mtoto huyo wosia akampatia sehemu ya mali yake. Katika Uislamu, wosia hutolewa kwa kuzingatia isizidi theluthi ya mali yote ya marehemu, huku theluthi mbili (2/3) zikibaki kwa ajili ya warithi halali.
- Wakfu: Baba anaweza kumwekea mtoto wakfu, kama vile nyumba au shamba, ili mtoto huyo aweze kunufaika na matunda au pato la mali hiyo wakati wa uhai wake
1. Mtoto wa Zinaa, mlipeana mimba hata kama ina wiki mbili ndio mkaoana, huyo mtoto ni wa zinaa, je anapata urithi?
Unajua maana ya kiyama(siku ya hukumu)?..ni siku ya kupata matokeo ya mtihani, hakuna wanaopata mia hiyo mtihani?Mantiki ya hukumu ni kwamba kuna makosa au unashutumiwa kwa makosa.
Usiwe mjinga wa kufikiri.
Mtu asiye na makosa wala hajashutumiwa makosa hukumu kwake ya nini?
Tunaongelea mivurugano ambao umedai ni mwingi kwenye Quran kuliko biblia
Yesu ni mwana wa Mungu na hapohapo ni Mungu mkuu,na hapohapo katumwa tu na Mungu(mtume)Nipe sasa huo mvurugano kwenye biblia
Kuhusu Yesu kuwa mwana wa Mungu huo sio Mvurugano.
Kwa sababu Tangu Torati Wana wa mungu wametajwa mara nyingi tuu
Unajua maana ya kiyama(siku ya hukumu)?..ni siku ya kupata matokeo ya mtihani, hakuna wanaopata mia hiyo mtihani?
Unafikiri vipi wewe!?..una elimu robo robo sana na hufikiri vizuri
Yesu ni mwana wa Mungu na hapohapo ni Mungu mkuu,na hapohapo katumwa tu na Mungu(mtume)
Umeongea ukweli sana
Sheria za wakati husika
We kijana una matatizo ya kufikiri, critical thinking kwako ni shida,sikulaumu ndivyo elimu ilivyokulea,hukufanya midahalo shuleni,ulipupia vyeti hivyo ulielimishwa na walimu wa tuition waliokufunza kufaulu mitihaniHao watu wanaopata mia sio Mitume walioandikwa kwenye hizo Quran na Biblia.
Angalau Yesu hajaripotiwa kufanya dhambi lakini waliobaki wote ni kama wewe na mimi tuu. Tena wengine wamefanya mambo ya fedheha ambayo ni aibu kuyataja.
Ukitaka tutayaweka tuyajadili
Huyo Muhamad anayewasema watoto haramu wasirithi naye chanzo cha asili yake ni Ishmael ambaye ni mtoto haramu.
Picha linaanzia hapo.
Huyo Yesu unayemsikia wakimpigia kelele anatoka kwenye ukoo haramu, ukoo wa zinaa kutokea kwa Daudi huko mpaka kwa Yuda.
Haya niambie Nabii mtakatifu hata mmoja tuu
We kijana una matatizo ya kufikiri, critical thinking kwako ni shida,sikulaumu ndivyo elimu ilivyokulea,hukufanya midahalo shuleni,ulipupia vyeti hivyo ulielimishwa na walimu wa tuition waliokufunza kufaulu mitihani
Maisha ya yesu kwenye biblia yameandikwa kuzaliwa kwake halafu wakaruka hadi akiwa na miaka 30
Hii miaka 30 hukuambiwa alikua akifanya nini,dhambi ngapi alifanya
Dhambi ni neno la kiswahili lililokopwa toka kiarabu 'dhanbi'.. maana yake kosa,hakuna binadam alae na kwenda haja hafanyi kosa
Kama hadi hili tunabishana, haina haja ya kuendelea na mdahaloNipe hiyo Aya inayosema Yesu ni MUNGU. Ili nione huo mvurugano wa biblia.