Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #61
Tra...Hongera sana@Mohamed Said hakika unastaili...Mada zako binafsi nikizisoma naongeza kitu kipya kwenye ubongo wangu.
Ahsante sana kaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tra...Hongera sana@Mohamed Said hakika unastaili...Mada zako binafsi nikizisoma naongeza kitu kipya kwenye ubongo wangu.
Genuine,Mzee wangu Heshima yako,
Story yako ni ipi?
Ongera ndio nini?!Ongera mzee mohamed
Tabaraka Allah .MWANACHAMA BORA JAMIIFORUMS STORIES OF CHANGE 2022
Picha zilizopo hapo chini zinajieleza zenyewe.
Nawashukuru sana JF kwa heshima hii waliyonipa.
Huu ni mwaka wa pili mfululizo napewa heshima hii.
Leo nimefika JF na nimekabidhiwa zawadi zangu.
Huo mfuko ndimo zilimo hizo zawadi zangu.
Zawadi nimepewa kwa faragha kwa hivyo basi sitosema nilichopewa.
Naamini haiba ya mfuko inaeleza nini kilikuwa ndani.
Furaha yangu haielezeki.
Ahsante sana JF.
![]()
![]()
Gag...I missed this. Congrats brother Mohamed.
Wao...Tabaraka Allah .
Mzee...👏👏👏 mzee Mohamed Said
Una...Mzee Mohamed Said hana mbadala JF.
Lady...honger sana mzee wangu endelea kuwepo humu mjengoni ninafurahia sana thread zakko za historia asante sana
Smart...Hongera sana...
Pay...Ukitoa udini mkali, labda ungekuwa mbali zaidi.
Nani alikwambia ni waislamu tu walipigania uhuru wa Tanganyika? Wachaga nao tunaowabagua tena waziwazi na wao waanze kuandika na kulialia? Mlitaka zawadi labda au mli overexpect sana, au mlijua nchi itakuwa ya kidini?Pay...
Ikiwa huwajui wenye udini soma kitabu cha Abdul Sykes Sehemu ya Tatu: "Njama Dhidi ya Uislam."
Hii ni sehemu inaeleza waliyofanyiwa Waislam wa Tanganyika waliopigania uhuru kwa hali na mali.
Unatumia kipimo gani kuniona siko mbali?