Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

Ulikuwa unamlalamikia UMUGHAKA anawachafua wapemba,haijapita hata nusu saa unatusimulia ulozi wako,acha kujisifia uchawi na MAJUNGU hayakufikishi popote.....Kwani alivyofukuzwa kazi mshahara wake mlipewa?
Yule dogo alikuwa mjivuni sana. Hadi anaenda sema kwa boss kuwa kuna watu wanavuta bhangi ndo maana utendaji wao mbovu. Tukashangaa hii bhangi imemkosea nini? So tukasema haya basi yeye anywe pombe... Ndo akapombeka kinyama dog yule.... Sisi unadhani mshahara issue sana? Hata kugusa hatugusi madeal kibao kazini yaani kupiga millions kadhaa si issue kubwa si wenyeji pale. Wanakuja maboss wanaondoka wanatuacha.
 
Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye... Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye...

Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara...yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.

Tukakaa wenyeji...tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi...jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.

Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa flani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.

Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe.anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.

Tukamwekezea na majungu kinyama...akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.

Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa zanzibar, tumekaa tanga...tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya we ndo unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe.huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
Utakufa mhundu juu.
Muda unaharibu maisha ya mtoto wa wa mwenzio basi wako atafanyiwa unyama.

Upendo ni tunda la rohoni mtu akiwa na upendo amebarikiwa.
 
Uzuri watu kama nyie hata huwa hamsogei kimaendeleo ! Hata ukimharibia mwenzako 😀😀😀 hata wanao huwenda wakasua sua sana mara mimba , mara hili linataka kukupiga kumbe Karma
Aiseeee..... Nina toto moja la kiume lilinishikia kisu nikalishikia shoka....moto uliwaka. Midada yake mitatu inazagaa zagaa tu na vitoto vyao....
 
Back
Top Bottom