Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

Ulikuwa unamlalamikia UMUGHAKA anawachafua wapemba,haijapita hata nusu saa unatusimulia ulozi wako,acha kujisifia uchawi na MAJUNGU hayakufikishi popote.....Kwani alivyofukuzwa kazi mshahara wake mlipewa?
Yule dogo alikuwa mjivuni sana. Hadi anaenda sema kwa boss kuwa kuna watu wanavuta bhangi ndo maana utendaji wao mbovu. Tukashangaa hii bhangi imemkosea nini? So tukasema haya basi yeye anywe pombe... Ndo akapombeka kinyama dog yule.... Sisi unadhani mshahara issue sana? Hata kugusa hatugusi madeal kibao kazini yaani kupiga millions kadhaa si issue kubwa si wenyeji pale. Wanakuja maboss wanaondoka wanatuacha.
 
Utakufa mhundu juu.
Muda unaharibu maisha ya mtoto wa wa mwenzio basi wako atafanyiwa unyama.

Upendo ni tunda la rohoni mtu akiwa na upendo amebarikiwa.
 
Uzuri watu kama nyie hata huwa hamsogei kimaendeleo ! Hata ukimharibia mwenzako πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hata wanao huwenda wakasua sua sana mara mimba , mara hili linataka kukupiga kumbe Karma
Aiseeee..... Nina toto moja la kiume lilinishikia kisu nikalishikia shoka....moto uliwaka. Midada yake mitatu inazagaa zagaa tu na vitoto vyao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…