TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Siku kaenda kulala msibani nilicheka, msiba wa Adam kuambiana katafuta nyumba ya msiba hadi kaipata kaenda kulala ili apate umbea
 
Daaaaah!!!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
iiiiiiiiiii jmn Warumi 😢
 
Ni huzuni kwetu sote na hatukutegemea kupata taarifa hii, labda tungeweza kumsaidia lakini yaliyopita si ndwele.

Lakini je, ni nani ataweza kuvaa viatu vyake? Kwa kweli tuzidi kumuombea mwenyezi Mungu amlaze mahali anapostahili.

~Raha ya milele umpe ee bwana, na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani. Amen.

Tutakukumbuka daima Mr.

" MJI MZITO HUU..!" by warumi

R.I.P commander!✊👮
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…