ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
likua mtu poa, thread zake na comment zake yn mda mwingine zinafurahisha. Daah nimeumia sn kwa kweli, jukwaa la celebrities tumepata pigo haswaaYani we acha tu watu wengi walikuwa Wana mu attack kwa gender yake ila Mimi nilikuwa namwelewa sana.
🙏🙏🙏🙏Pamoja, kikubwa tusherekee uhai wetu kwani kuna siku aliyetupa atauchukua. Apumzike mwamba.
Hakiiii nimeumia kama nilikuwa nakaa nyumba moja naye.Yani mke huna maana kabisa. Umenifanya nicheke kwenye maombolezo.
Basi pole sana. Haya mambo yanauma...
Mtu humjui physically lakini kwa maandishi yake tu anakuwa kama ndugu
RIP kinara wa umbea
Siku kaenda kulala msibani nilicheka, msiba wa Adam kuambiana katafuta nyumba ya msiba hadi kaipata kaenda kulala ili apate umbeaKwamba alienda kuchungulia dirishani?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥺🤣🥺🥺🤣🥺🤣🥺🤣🥺🥺🤣🥺🤣🥺😭🥺😭🥺😭🥺🥺😭🥺😭🥺😭🥺😭🤣🥺😭🥺😭🥺🥺😭🥺😭🥺🥺😭.
Hakyamama.
Warumi nyoko zako popote ulipo nyau wewe
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭!!
iiiiiiiiiii jmn Warumi 😢Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo.
Warumi alikuwa kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29.
Taarifa hii nimepewa na dada yake mda huu, msiba unaelekea kwao Tegeta .
UPDATE:
Msiba upo Tegeta Nyuki, ukifika Stand unachukua boda au bajaj unawaambia wakupeleke nyumbani kwa Kiboko, maana msiba upo opposite na utaona geti jeusi liko wazi - ingia.
Msiba utasafirishwa kwenda Mbeya, Nonde Mabatini. Mipango inapangwa, taarifa zaidi zitakuja jioni.
Daah ni kweli, sikuamini mpaka nilivyotembelea ID yake na kukuta imepewa brand (RIP)Jamaa Amefariki kweli?
RIP
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku kaenda kulala msibani nilicheka, msiba wa Adam kuambiana katafuta nyumba ya msiba hadi kaipata kaenda kulala ili apate umbea