Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
warumi YOU LEFT A LEGACY kule Celebrities.
Umeniuma mdogo wangu.
Dah.
Pumzika Binamu.
Nimemiss matusi yako yasiyo na mpangilio mbwa wewe.kwa nini sasa jamani![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Uuuuwih
Alikuwa anaweza kutukana mtu kaunganisha kiberiti na kilimo cha matikiti mpuuzi yule.Yaani hapo kwenye "matusi yasiyo na mpangilio mbwa weee"; maskini i can feel you.
Kuna siku binamu alianza kuchamba kwa kinge; tulimkoma binamu na mashauzi yake. Kinge kimenyoooka
Nyie[emoji24][emoji24][emoji24]Warumi wa humu jamani.
Binamu yetu.
Alikuwa anaweza kutukana mtu kaunganisha kiberiti na kilimo cha matikiti mpuuzi yule.
Yesuuuu, naumia mimi.
warumi anachambana na watu thread nzima na mnachoka mnamuacha.
Akianzisha thread ni mpk mwisho anayo.
Anajibu every comment.
Every tusi,
Every support,
Every updates za umbea.
Halafu no hard feelings.
We una povu mwenzio karelax.
Daaaaah, kifo shikamoo
Ishia hapohapo R.I.P My FriendAisee...Poleni wana Jf. Huyu si ndio alikua mdau wa Ubuyu?!
Na neno lake "mji mzito huu"Daah andjul ali-like comment yangu kwenye uzi wa zamani wa Warumi. Mmh ile nafungua naona RIP kwenye ID ya Warumi; nikakukumbuka ghalfa. Kwa kweli mmepitia mengi na Warumi kwenye hekaheka za umbea. Nakumbuka enzi zile mnachambana na Matola;Warumi anachanganyikiwa na vichambo hadi anajiquote mwenyewe.
Evelyn Salt unakumbuka binamu alivyoenda kulala kwenye msiba wa Marehemu Kuambiana ili tu kutuletea ubuyu? Daah binamu yetu maskini