TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Ooh pole yetu, jirani yangu huyo huko mbeya...tulikosa kufahamiana tu😱
 
Ngekua dar ngeenda kwenye msiba nimeumia mno 😢😢😢😢Apumzike kwa amani
 
Aiseeee[emoji848][emoji848]

Wewe hapo ulipo ni msafi sana, kiasi kwamba huna dhambi ya kizembe?

Ila binadamu kwa kuhukumu[emoji1751][emoji1751][emoji1745]
Mimi sina dhambi nimemwamini Yesu.
Na kila anaemwamini anapata ondoleo la dhambi.
Acts 10:43
Huyo manabii wote humshuhudia, ya kwamba kwa jina lake kila amwaminiye atapata ondoleo la dhambi.
Karibu na ww upate ondoleo la dhambi ni bure hakuna tozo.
Karibu
 
Daah mnakumbuka kipindi kile Lucy Komba ndiyo kafunga ndoa na mzungu wake, kavaa gauni kama anapata komunio, na akaingia na Samsung yake kwenye boat. Jamani zile comments
Alijuaga kumnanga Lucy wa watu[emoji28][emoji28][emoji28]gauni kama la kominio, Lucy akasuka na rasta tena mabutu makubwa makubwa weeee, binamu weee UPEPE
 
Mpk we umerudi.

Kweli Warumi is no more.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Acha tu.
Mie nilikuwa napenda anavyojua habari za ma star

Was of his own kind kwa kweli...na all the time nilijua ni mdada.

May his soul rest in peace
[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
I love you; thank you.
Watu kama nyie ndiyo huwa mnafanya Ukristo udharaulike bure. Unafikiri hapa kuwa pengine unashuhudia au unahubiri lakini kimsingi unafanya damage kubwa sana. You are arrogant, spiritually immature and a faith prostitute. Huna tofauti na Mafarisayo na Masadukayo waliokuwa wanamkera Yesu kwa show off zao za kinafiki.

Heshimu hisia za watu, zingatia muktadha na zaidi ya yote onyesha upendo kwa wengine. Hapo utawaleta watu kwa Yesu hata bila kusema neno. Unasikitisha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom