It is meaningful when you are healthy and wealthyMkuu,Life is meaningful ,make the most out of it,
Apumzike kwa amani member mwenzetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It is meaningful when you are healthy and wealthyMkuu,Life is meaningful ,make the most out of it,
Apumzike kwa amani member mwenzetu
Nadhani ni lile kanisa la pale muhimbili
Nimeiona thread hii jioni na I was really shocked na hii taarifa. Na mpaka sasa I am.
Nashukuru amu kwa updates na maelekezo yako maana nimeweza kufika mpaka msibani na ndio nimetoka mida hii.
Na nimetoa rambi rambi kama JamiiForums na nikawaeleza jinsi gani tuliishi nae hapa jukwaani. Dada yake amefarijika sana, na akasema tumemjua mtandaoni na tungeweza kuamua kukaa huko huko kimya tusijitokeze msibani lakini kwenda kwetu mpaka pale nyumbani inaonesha ni namna gani tuna upendo na tulikua tunamjali.
Kesho wanaaga saa 8 Muhimbili, nitakwenda pia kutoa salam za mwisho. Its too sad nimemuona sura yake when he is already gone.
Kuna muda ambao siko active JF Binamu alikua ananiandikia PM, kuniuliza naendeleaje niko salama ama nina matatizo yoyote and that meant a-lot to me.
Nimeumia kutoka rohoni.
Bado nawaza swala la rambi rambi tufanye vipi ku support familia katika wakati huu mgumu.
R.I.P Binamu
Mambo ya corona haya sidhani kama utamuona live[emoji848][emoji1751]Patakapokuwa na uzima nitakwenda kumuaga na kumpiga jicho la mwisho
Duh..., japo mimi sio mwanachama active wa celebrity forum, ila jamaa namkubali sana na nimeguswa.Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo.
Warumi alikuwa kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29.
Taarifa hii nimepewa na dada yake mda huu, msiba unaelekea kwao Tegeta .
UPDATE:
Msiba upo Tegeta Nyuki, ukifika Stand unachukua boda au bajaj unawaambia wakupeleke nyumbani kwa Kiboko, maana msiba upo opposite na utaona geti jeusi liko wazi - ingia.
Msiba utasafirishwa kwenda Mbeya, Nonde Mabatini.
UPDATE.
Misa ya kumuaga itafanyika kesgo tarehe 27 August saa 8 mchana Muhimbili.
Hawa walituwakilisha vyema:
![]()
![]()
![]()
Vijana wa Mtandao wa Jamii Forum wakiwa wamevalia rasmi waliposhiriki kuuaga mwaili wa aliyekuwa mwanachama wa mtandao huo, marehemu, Regia Mtema.
Naomba niishie hapa, nitaendelea kesho na tutakuwa Live kutoka Ifakara (pamoja na picha)
I agree with you [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Duh..., japo mimi sio mwanachama active wa celebrity forum, ila jamaa namkubali sana na nimeguswa.